Mkuu, na wewe unaweza kuandika hayo unayoyaona ndio sahihi.Wa bongo kwa kupenda Mambo ya watu, kwanza kusaga sio mmiliki mwenza wa WCB,share holder mwenza ni mke wa kusaga, kama individual, hisa sio za ndoa!
Mind, ni CEO, Mambo ya Kodi, wapo CFO, na MD wanaweza kusimamia hayo Mambo,
Bakhresa sio mogul wa media kwamba atafanya kufa au kupona apate jambo lake kwenye frequency.107.3 UFM hii ni ya Bakhresa, vp Hana pesa za kununua 88.
Cha msingi ikiwa inamuhusu mama sanchoka niite tu nitaitika kutoka huku shambaniVuna haraka, mji huu una mengi kesho tuna habari nyingine.
Hivi swali hili pia nimejiuliza sorry lakiniWewe kama mtaalamu wa hayo masomo ulitakiwa utoe ufafanuzi wa kina badala ya kutaja terminologies na classmates wako.
Mimi kama kilaza wa mambo ya radio frequency ngoja nieleze kwa kutumia ukilaza wangu. Radio frequencies kwa Tanzania nadhani zitakuwa zinaanza palepale ambapo sehemu nyingi duniani huwa zinaanza. Kuanzia 88.0MHz hadi 108.0MHz.
Sasa kati ya hizo frequency modulation (FM) radio stations, inabidi kuwepo na space ya 0.2MHz kuzuia kuingiliana kwa sauti maana frequency mfano redio ikiwa 89.7 unaweza isikia kwa kelele ukiweka 89.6 au 89.8, isingekuwa wanaacha nafasi kidogo basi redio zisingekuwa zinasikika vizuri mwenye transmitters kubwa ndio anasikika na mwingine anakuwa na noise. Hii issue hutumika kwenye jamming tukienda mambo ya usalama.
Na kuna sababu kwanini redio kongwe na kubwa kubwa zote zina frequencies chini ya 92MHz, alafu redio uchwara zile za sijui nani mkusanya sadaka ziko kwenye 102 na kupanda.
Therefore, nashawishika kuamini kuna watu walinunua frequencies za mwanzo nzurinzuri wakakaa nazo ilimradi wanazilipia TCRA. Hilo suala la kukosa mapato ni la TRA. Btw hii ni banana republic lolote linawezekana.
Hakuna mtu ataanzisha redio kubwa alafu frequency iwe 107.8, atabidi abanane na hawa 88, 89 uko. Na ndipo ataenda kununua kwa waliohodhi.
Alafu kukusanya umbea wa uhakika kwa vyanzo tofauti nadhani ni kazi sana. Badala ya kuja kuattack mleta taarifa kwamba muongo ingefaa expert wa fani yake aje na maelezo ya kushiba kujazia au kukosoa hoja. Badala yake mnachambua vipointi mnamuita mtu mwongo na wala hakuwa na intention ya kuongopa.
Bakheresa chochote akitakacho simu moja kwa mkuu wa nchi kamaliza,hayupo Mogul wa kumzidi Bakheresa nchi hii hayupo kwa power.Bakhresa sio mogul wa media kwamba atafanya kufa au kupona apate jambo lake kwenye frequency.
Wala hajaianzisha UFM ili impe faida ya kifedha direct, bali atangaze bidhaa/huduma zake na hasa kwa vile Azam ina mkataba ligi kuu. Ndio maana UFM imejikita zaidi kwenye michezo.
UFM kwa Bakhresa ni kama mkuu wa mkoa alime ekari moja ya mahindi, jua likiwaka usidhani atalia na kusaga meno kwamba sasa atakula wapi. Ukitaja wakulima wa mahindi, huyo mkuu wa mkoa mtoe.
Nauliza tu hiyo pesa ndefu haina kikomo?Ficha upumbavu wako. FM frequency kila mji unapangiwa masafa (frequency moja tu) na FM ina Total 100 Stations kwa kila mkoa:
The FM radio band is from 88 to 108 MHz between VHF television Channels 6 and 7. The FM stations are assigned center frequencies at 200 kHz separation starting at 88.1 MHz, for a maximum of 100 stations.
Dar es salaam Wajanja wameziomba na awajaanzisha Redio ila wanazilipia kila Mwaka..... hii pia ipo katika Telecom... wapo Matajiri walikuwa wanamiliki Frquency za kuanzisha makampuni ya simu kwa miaka mingi hapa Tanzania mpaka pale TCRA walipobadilisha mfumo wa umiriki wa hizo Frquencies . Ila kwa Radio na TV bado wapo watu wanazo na awajafungua stations. Ukizitaka unalipa hela ndefu ndo upewe. Kama unaweza omba TCRA ukapata FM frequency Dar ni PM tuyajenge nnahitaji moja
Kuna habari moja khs media fualni hv nadhani unayo..na pia kuna media soon itakimbiwa na watangazaji wao nguli stay tune ..najua unazo au utapatiwa muda ukifikaVuna haraka, mji huu una mengi kesho tuna habari nyingine.
Kaka bizsness tuna zifahau ma jobless tu😆🤓Doing biznes??
Dah Leo pamekucha😆🤓Frequency zimejaa kwa mujibu wa Ramani hiyo ya Dar
WE jamaa ni kichwa upo njema unafanya mambo magumu kuwa mepesiMkuu kama nilivyosema hii sio field yangu, kwa kitu ninachokijua huwa natoa maelezo yaliyoshiba hata kilaza akisoma anaelewa.
Hapa nimejibu kwa general knowledge tu, wataalamu wenyewe ndio hawa hapa hamna kitu wanaelezea
Mzee wewe sio mtaalamu wa aya mambo, sema ulisoma O level na A level na wataalamu. Hata mimi nilisoma nao.Kwa hiyo waliso soma Physics wote wamesoma kwa Mgote?
Kwani ukisoma Physics Mchikichini na ukisoma Feza kwani Faraday law,Lenz law ya Mchikichi na Feza zinatofautiana.
Sio mtalaamu sasa nimekuwekea na Formula bado unakataa,sasa unataka niseme nini,tena hivyo ni basics knowledge.
Mawimbi yana shindana vipi wakati kila radio ina transmit kwenye path yake?
Hivi vitu ni optional halafu unaweza kufika dau ya mmiliki wa frequence nzuri anazohold nae akagoma sio lazma akuuzie sababu na yeye sio njaa kivile107.3 UFM hii ni ya Bakhresa, vp Hana pesa za kununua 88.
Mbona sioni hiyo tag??Sawa mkuu
Oooh oky mkuu tafuta hii title mabraza wa kariakoo na dili zao......utauona huo uziMbona sioni hiyo tag??
Mimi mwenye ni mtaalam hata hapo TCRA nina wataalam ambao nimepiga nao wengine O-Level,A-Level na Chuo. So hizi issue za Stochastic Signals, Diterministic signal,Electromagnetism, sijui Mieletronics, modulation and demodulation,Radio and TV Broadcasting, Transimission nishaachana navyo sababu nipo kwenye field nyingine japo nilivisoma chuo so ninacho kiongea na kijua.
Kwanza kitendo cha kuhold maanake serikali inakosa mapato kwa hiyo frequency yeyewe, pili kupitia hiyo frequency serikali inakosa kodi kupitia wafanyakazi wa hiyo redio sababu nao wanakuwa walipa kodi. Halafu dunia ya sasa technology ipo very sophisticated sio rigid kama mnavyo fikiri.