Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

Hapa Tanzania kila kitu mbona kinawezekana au wewe ni mgeni?
 
Asante b... Mwalimu wangu wa uandishi kaka mzuri anastahili pongezi. Alinionyesha njia za uandishi, nami nazingatia.

Tatizo watu wabishi b..., wanadhani haya mambo tunaamka tu na kuandika bila uhakika.
Hiyo "b"ndio Nini jamani mbona mnatunyanyasa sana wambea🤦🤦maana naona ni mwendo wa b ,b,b,b
 
Nifah naona uko mbele sana ya muda kwenye habari za town. Leo ndo Mange kapost habari yako. Akulipe
Nampenda sana Nifah japo simjui. Ila kuna kipindi alijielezea kidogo kwenye comment kwenye uzi flani wa prof Janabi akacomment na sisi wanene? Dah and their she nailed it. Penda sana wanawake kama Nifah!
 
Kwahiyo redio za dini ni redio uchwara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…