Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

Wanakwambia kuna watu wamezimaliza,kwa jinsi technologies zilivyo sophisticated yaani umalize frequency.Bora ww umeiweka kielectronics zaidi.
Tatizo la mleta mada,hataki challenge,yeye anataka watu wameze tu wasihoji,hii ni JF sio Shule ya Chekechea,kama hataki kuhojiwa awe anawaandikia watu wa kwao huko.
 
Kwani wewe hujawahi kukosea? Yani mimi kuandika Diamond badala ya Kusaga ndio unanikomalia hivi?
Mimi ni nani hadi nisikosee? Au unaniona malaika nini mwenzetu?
Kukosea kila mtu anakosea ila respond yako kwangu ilikua ni ya kipumbavu,ungekubali kua umekosea na sio kuanza kujitutumua,

Unafananisha Habari ya Idara ya habari Ikulu na comment ya JF? baada ya kuona kua umekosea si unge edit tu kuliko kujifanya mjuaji na kunijibu kifedhuli?
 
Humu JF kuna Vichaa wengi sana😂 ajui kitu anajifanya mjuaji msamehe bure
Halafu hii sio habari mpya Mkuu. Kuna kipindi 2017 jamaa zangu fulani walitaka kufungua radio kufuatilia wakaambiwa hakuna frequency Dar, kama wanataka wanunue kwa watu wenye nazo ambapo ni ghali sana.
Wakaachana na wazo lenyewe la radio.
 
Very interesting.

Sidhani kama kusaga alianzisha Wasafi Media ili iwe kubwa kuliko Clouds, it could be a stupid move to destroy a family business, bali isiwepo Ent Media Kubwa kuliko Clouds. Kama ni kweli kuna Kings Media, its a strategy ya kuipunguza nguvu Wasafi Media and in the long run inaendelea kuilinda Clouds Media. He is genious!
 
Account ni ya Nifah ila muandiko ni wa habibu
 
Jamani sijasema partnership imekufa.
Unajuaje kama na mimi sio insider? Teh
Hakuna sehemu nimesema ww sio au ni insider.

Na unajua naongelea insider wa nn? Sabab hapo kuna TRA, Kusaga, Diamond na Wasafi media.

Inshort hii story ya leo nadhan una outdated info, sababu issue za TRA mond alishasolve kitambo, kama unakumbuka kuna kipindi walimvamia hadi ofisini kwake ikawa vurugu na mambo yakatatuliwa na wakuu.

Re-check with your source.

BTW naongea tena kama insider
 
Halafu hii sio habari mpya Mkuu. Kuna kipindi 2017 jamaa zangu fulani walitaka kufungua radio kufuatilia wakaambiwa hakuna frequency Dar, kama wanataka wanunue kwa watu wenye nazo ambapo ni ghali sana.
Wakaachana na wazo lenyewe la radio.
Naomba elimu. Kununua frequencies na kuhodhi bila kutumia hii haiwi kinyume na Sheria ya Fair competition?
 
Tatizo la mleta mada,hataki challenge,yeye anataka watu wameze tu wasihoji,hii ni JF sio Shule ya Chekechea,kama hataki kuhojiwa awe anawaandikia watu wa kwao huko.
Mimi napenda sana mijadala, wala sina tatizo na hilo.
Kutokuelewana katika mijadala ni jambo la kawaida, unavyodhani sivyo.
 
Umenipa kitu kipya ambacho sikukiona kabla, una upeo mkubwa sana.
 
Wenyewe wataalamu wanakuambia Bandwidth ni bidhaa adimu na ina limit. Kwa hiyo unapoambiwa Kwa hapa Dar watu tayari wameshanunua na Wana hold Sio ujinga..
Eneo kama hili tunakutana watu wambalimbali, tunachofahamu mimi na wewe sicho wanachofahamu wengine.

Nilichokisema mimi nina uhakika nacho.
 
Sawa insider!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…