Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

Teknology inakwenda ikibadilika ndio maana Tv broadcasting analogue ilipigwa chini Sasa ni mwendo wa ma_decoder, unadhani Kwa nini ilipigwa chini!? Kuna wakati TCRA walifanya mnada wa Masafa unakumbuka!? Kwa nini walifanya vile!?
 
Kuhusu frequency ni kwel na ndomana wasafi no 88.9 na clouds ni 88.5,,inaonekana mwamba alizichukua hiz kwa wakat mmoja akazihodhi..hatar sana
 
Teknology inakwenda ikibadilika ndio maana Tv broadcasting analogue ilipigwa chini Sasa ni mwendo wa ma_decoder, unadhani Kwa nini ilipigwa chini!? Kuna wakati TCRA walifanya mnada wa Masafa unakumbuka!? Kwa nini walifanya vile!?
So analogue ilipigwa chini sababu frequency zinaisha........ so hizo decoder ndio zimekuja kumaliza frequency?

TCRA kuhusiana na minada wanafanya sana ila haina maana kwamba frequency zimeisha......

Au unataka kuniambia Digital ina upungufu wa frequency kuliko Analogue.
 
Hiyo digital ililetwa pia kupambana na suala la uhaba wa Masafa. Kuhusu minada ya Masafa ndiko watu wanaponunua na wao wanauza.
 
Risasi wekeenda au Kiu imeriport kutoka Habari za kubumba Jijini Dar
 
Mkuu, dadavua hili tafadhali. Hii ni habari mpya kwangu...
Mkataba wa nini?
 
Teknology inakwenda ikibadilika ndio maana Tv broadcasting analogue ilipigwa chini Sasa ni mwendo wa ma_decoder, unadhani Kwa nini ilipigwa chini!? Kuna wakati TCRA walifanya mnada wa Masafa unakumbuka!? Kwa nini walifanya vile!?
Huu mjadala sikutegemea uwe wa moto namna hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…