Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

Kuna habari JF ni za kusoma tu na kunyuti...

Naona kuna raia wanabishana kuhusu ishu za freq spectrum hadi wanatoleana vitenzi vikurupushi...
Mjadala umekuwa mkali sana, nimechekaaaa.

Halafu hilo la frequency nimeliongeza mwishoni, wala halikuwa lengo la thread.
 
Kuna mti mmoja umemsahau Nifah Qchilah alitemwa kwenye Utangazaji na Kamati ya Maandalizi wakasema ana hasira sana hawezi kuhoji wala kutangaza..

Japo nakuamini sana story zako.huwa ni Za ndani sana hasa Za DSTV 😀😀
 
Kuna mti mmoja umemsahau Nifah Qchilah alitemwa kwenye Utangazaji na Kamati ya Maandalizi wakasema ana hasira sana hawezi kuhoji wala kutangaza..

Japo nakuamini sana story zako.huwa ni Za ndani sana hasa Za DSTV 😀😀
Q Chillah skuambiwa, chanzo kiko bize sana ndio maana.

Halafu za DSTV ninazo mpya kibao, basi tu nimechoka kuziandika.
 
Q Chillah skuambiwa, chanzo kiko bize sana ndio maana.

Halafu za DSTV ninazo mpya kibao, basi tu nimechoka kuziandika.
Ndo kisa cha Qchilla kugombana na Diamond maana hilo wazo alilipeleka kwa Wote alikiba na Diamond na chege pamoja na babutale..

Kujadili Chege na Diamond wakaondoa Jina la Qchilla..

Hebu leta za DSTV bhna vipi kuhusu Hii filamu mpya ya Nuru 😀😀
 
Hold on, Chegge ana role gani kwenye hizo Media hadi awepo kwenye maamuzi?
 
Mkuu unabisha tu ila huwezi kupata frequency ya DSM kwasaaa TCRA. ndio maana wengi wanachukua za zenji wanafunga Busta dar. Kuhusu kuhodh ipo Sana Kuna jamaa dodom anazo tatu kazi yake ni kuzilipia kodi tu ile ya mwaka..nchi hii uhuni ni mwingi Sana.

Ila Kama unaweza kupata frequency ya DSM njoo PM nitakulipa
 
Kuna redio inabifu kma clouds huyo kusaga mwenyewe kadhulumu ndgu zake...madj wake wanabifu na wasanii kibao toka enzi ya ruge
 
Kusaga akiwemo?

Karanga zilikuwa zinatengenezwa na kiwanda kinaitwa Smart Industry Limited...

Hicho kiwanda kiliingia makubaliano na Wasafi/Diamond (kutumia jina lake Diamond + promotion) na pia Big Joe (promotion kupitia media zake)...

Baadaye wakashindwana kwenye kulipana, Diamond kupitia Wasafi akafungua kesi dhidi ya hicho kiwanda na hao wenye kiwanda wakafungua kesi dhidi ya Diamond na Kusaga...

Biashara ikaishia hapo...
 
Kusaga kwenye biashara hana rafiki wala adui, leo yupo na wewe (business partner) kesho anawekeza kwingine biashara hiyohiyo.
Akili kubwa ya biashara ile.
Sasa Dai hapokei simu halafu wanakua wote,inakuja kweli?
Kwanini asimwambie alichotaka kumwambia muda huo wakikutana?
Diamond kwasasa ni mkubwa,hata akiachiwa kile kituo,anaendesha.
 
Hata mimi nahisi hivyo, sikuwa nafahamu mwaliko wa Kusaga kwenye hiyo show yake wakati naandika hapa.

Nimeenda kucheki baada ya kuandika namuona Kusaga na Nape, imekaa kitaalamu sana.
Sana Humuoni na Mkuu wa Mkoa RC..
Pia humuoni Mwana FA huoni Viongozi wa Serkali zaidi ya 12 walioalikwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…