Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

Ungejua? Hii ni habari ya uhakika ni vile tu siwezi kusema ilivyopatikana.
Lakini, muda si upo? Subirini uzinduzi wa Kings Media halafu mtarudi hapa.
Ikitokea kama ulivyoandika,nitaanza kukuamini.
 
Nyie watu mlikuwa wapi jamani? Mnaojua mambo msipokuwepo jamii inapotea.

Watu wameuvamia mjadala ilhali hawajui chochote.
Jamani siandiki habari za uongo mimi! Nilishavuka huko.
 
Walugaluga kama wewe hamjawahi kukosekana. Frequency ni bidhaa adimu Dar, nenda wewe huko TCRA leo ukaulizie.
Ila ww muongo ndo Bold X husband wako alivyokudanganya na story zake za uongo na kweli sio,eti Kusaga ana hoz frequence hahahahaha hopeless.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Njoo basi na habari ya Niffer na Resty na kwanini Niffer alikataa kuwa ambassador wa Resty kwenye bidhaa yake ya La Vista???
Ule ni mitifuano ya kibiashara tu hamna la zaidi.
Na kama ni maoni yangu naona kila mmoja ana haki ya kufanya na kusema analosema, biashara zina mbinu nyingi.
 
Never underestimate JF,that's why I like it.
 
Ooh, okey boss. As long kila mmoja anapata hakuna mjinga. Labda kama hakuna win-win
Lakin ujue anaye win zaid ni anayeweka pesa kutumia jina lako. Maana bila wewe yeye hizo pesa angeweka wapi? Bila yeye wewe ungeweza pata mtu mwingine still so ni kama win win but infact Kusaga ame leverage over Diamond. So honestly is a really win-win
 
Win-Win inapimwa na mambo mengi boss. Unaweza ukawa unapata kingi zaidi yangu ila na mimi napata kile ninachohitaji. Kwenye macho ya wengine inaweza kuonekana kama unatumika ila as long as unajua unataka nini na unapata unachotaka basi ni win-win.
 
Mkuu, Media ni taasisi. Kukiwa na kikao/chochote kila mmoja atapewa taarifa kivyake.
Wale ni business partners sio wapenzi.
Lazima muwasiliane. Objectives na ndoto za ofisi mnazo nyinyi sio watendaji wanaowapa ripoti. Unless hiyo media imeshafika kwenye peak na hakuna room ya kuexpand na malengo yenu yametimia.
 
Win-Win inapimwa na mambo mengi boss. Unaweza ukawa unapata kingi zaidi yangu ila na mimi napata kile ninachohitaji. Kwenye macho ya wengine inaweza kuonekana kama unatumika ila as long as unajua unataka nini na unapata unachotaka basi ni win-win.
Nakubali.
 
Umetisha fungua jarida upate kipato mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…