Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

Wewe kama mtaalamu wa hayo masomo ulitakiwa utoe ufafanuzi wa kina badala ya kutaja terminologies na classmates wako.

Mimi kama kilaza wa mambo ya radio frequency ngoja nieleze kwa kutumia ukilaza wangu. Radio frequencies kwa Tanzania nadhani zitakuwa zinaanza palepale ambapo sehemu nyingi duniani huwa zinaanza. Kuanzia 88.0MHz hadi 108.0MHz.

Sasa kati ya hizo frequency modulation (FM) radio stations, inabidi kuwepo na space ya 0.2MHz kuzuia kuingiliana kwa sauti maana frequency mfano redio ikiwa 89.7 unaweza isikia kwa kelele ukiweka 89.6 au 89.8, isingekuwa wanaacha nafasi kidogo basi redio zisingekuwa zinasikika vizuri mwenye transmitters kubwa ndio anasikika na mwingine anakuwa na noise. Hii issue hutumika kwenye jamming tukienda mambo ya usalama.

Na kuna sababu kwanini redio kongwe na kubwa kubwa zote zina frequencies chini ya 92MHz, alafu redio uchwara zile za sijui nani mkusanya sadaka ziko kwenye 102 na kupanda.

Therefore, nashawishika kuamini kuna watu walinunua frequencies za mwanzo nzurinzuri wakakaa nazo ilimradi wanazilipia TCRA. Hilo suala la kukosa mapato ni la TRA. Btw hii ni banana republic lolote linawezekana.
Hakuna mtu ataanzisha redio kubwa alafu frequency iwe 107.8, atabidi abanane na hawa 88, 89 uko. Na ndipo ataenda kununua kwa waliohodhi.

Alafu kukusanya umbea wa uhakika kwa vyanzo tofauti nadhani ni kazi sana. Badala ya kuja kuattack mleta taarifa kwamba muongo ingefaa expert wa fani yake aje na maelezo ya kushiba kujazia au kukosoa hoja. Badala yake mnachambua vipointi mnamuita mtu mwongo na wala hakuwa na intention ya kuongopa.
 
Mkuu naomba ufafanuzi hapa “kila release atoe kupitia kolabo"
 
Mkuu umeeleza vizuri sana
 
Frequency zimejaa kwa mujibu wa Ramani hiyo ya Dar
Inawezekana bi dada umbea kapewa na mtu anayemuamini sana ila kama angekuwa na knowledge kidogo ya Telecommunications, hata isiwe ile ya deep kiasi hicho, angejua kwamba hapo wametia chumvi tu, hakuna mtu anaweza zimiliki Frequency Radio zote za Dar. Hata yeye leo akitaka anatengenezewa. Nadhani TCRA walikuja wakanunua controlling devices ili kudhibiti radio bubu, zamani zetu zilikuwa nyingi sana ila saivi mpaka upate registration ndo utarusha vipindi vyako.
 
That's my beautiful girl!
 
Walugaluga kama wewe hamjawahi kukosekana. Frequency ni bidhaa adimu Dar, nenda wewe huko TCRA leo ukaulizie.
Hilo suala ulilosema ni ukweli kwa 100%. Mwaka 2011 kuna mtu alitaka kuanzisha redio alisumbuka sana kupata frequency nzuri na ilikuwa mkoani. Ilibidi anunue redio ya mtu aliyekuwa kashafulia. Na wakati huo tayari Kusaga alikuwa na frequency kashazishikilia. Frequency ni suala tata sana.
 
Hubris inaitwa. Muda huwa Una tu humble, wengi tulitoka chuo tukiamini the world is ours.
 
We jamaa ndio umetoa jibu sahihi kabisa...
Je wewe ni insider?

Please kwa niaba ya wengine ebu tujazie nyama hapo kwenye wakusanya sadaka kwann wawe kwenye 102.4 na zaidi

Nn sababu maana nimewashawa radio naona hii kitu ni kweli.


Na kwann km wasafi haipatikani baadhi ya mikoa je huko nako kuna madon wamehold frequence za hio mikoa? Hasa zile zenye asali kiasi kwamba nao inabidi wanunue

Hitimisho ndio huu uhuni unaazia mbali serikali ingeweka mazingira rafiki ya internet nchi nzima na iwe rahisi watu wangekuwa wanasikiliza online so huo mlolongo ungekufa mtu angeweza kufungulia frequence njombe na watu wote wangesikia


Ndio maana ELON alipigwa chini bongo angeharibu mizinga ya asali ya wengi sana



Swali la mwisho huenda mengi nae alinunua nchi jiran ile radio yake inayoshika EAC yote


Ama kweli biashara ni akili
 
Jamaaa bishi kama ushuzi ukitaka frequency kwa sasa ni mkoa wa pwani ndo unapata ila dar zimejaaa mm kuna jamaa yangu alifuatilia kachemka kachukua mkoa wa pwani harafu kituo atajenga mpakani mwa dar na pwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…