Wasafi TV ndani ya DSTV, katika nchi zote za Afrika

Wasafi TV ndani ya DSTV, katika nchi zote za Afrika

Mbona niliwai ziona
Zipi hizo na ukiwa ndani ya nchi gani?
Kwa Tz TV zinazo cover africa nzima ni Tbc,safari channel maybe na itv au startv na zote hizo si entertainment media's.
Entertainment media kubwa za tz ni clouds,Etv,Eatv na ndio hii mpya ya wasafi TV,nenda kwenye web ya tcra ukaone Mwenyewe.
Au check dstv nigeria au South Africa uone kama zipo.
 
Entertainment unataja TBC!!!???
Unaweza ukazitaja TCRA registered entertainment media kubwa za Tanzania?
Ukitaja tbc,startv na kina itv utakuwa ni kopo tu wewe,
Pia hiyo clouds + ni hapaTz au EA tu,check acha kulopoka na amesema entertainment media sio hizo za habari kama tbc na itv hizo uenda zinaonekana kama alivyojieleza.
 
Habari wakuu?,I hope you do good.

Diamond platnumz leo wakati wa kutambulisha watangazaji wapya wa vipindi vya michezo pale wasafi HQs.
Mbele ya wageni waalikwa na mgeni rasmi waziri wa michezo mh,dkt.mwakyembe.

Ametangaza kuwa ndani siku chache zijazo yaani 3,wasafi TV itakuwa Inaonekana africa nzima na sio tz tu au hapa EA tu,hii itakuwa ndio the first entertainment media from EA region to broadcast across all african countries,
Tofauti na nyingine ambazo zina cover tz au EA tu.

Hadi hapa diamond atakuwa kaleta mapinduzi makubwa hapa Tanzania na EA kwa ujumla katika entertainment media industry.

Hongera kwake na ndicho tulichokuwa tunataka,challenge ni muhimu katika ukuaji wa tasnia ya habari naamini na wengine watafuata,ili hata mbongo ukiwa ghana uweze kucheki media za bongo bila wasi wasi.
hata kma unasifia usijitoe akili yaani EA wasafi TV ndio entertainment television ya kwanza kuingia DStv? Switch TV ya Kenya hujawahi iona?
 
Clouds plus inashika nchi 40 africa

Bado kuna clouds tv rwanda ambayo inakamata maziwa makuu na afrika ya kati [emoji4][emoji4]

Pia kuna clouds tv Botswana na Zimbabwe

Unaweza ukazitaja TCRA registered entertainment media kubwa za Tanzania?
Ukitaja tbc,startv na kina itv utakuwa ni kopo tu wewe,
Pia hiyo clouds + ni hapaTz au EA tu,check acha kulopoka na amesema entertainment media sio hizo za habari kama tbc na itv hizo uenda zinaonekana kama alivyojieleza.
 
hata kma unasifia usijitoe akili yaani EA wasafi TV ndio entertainment television ya kwanza kuingia DStv? Switch TV ya Kenya hujawahi iona?
Lead each line carefully before you comment! Who said that no other EA entertainment TV in dstv?
Am talking about coverage.
 
Clouds plus inashika nchi 40 africa

Bado kuna clouds tv rwanda ambayo inakamata maziwa makuu na afrika ya kati [emoji4][emoji4]

Pia kuna clouds tv Botswana na Zimbabwe
You know nothing.
 
Clouds plus inashika nchi 40 africa

Bado kuna clouds tv rwanda ambayo inakamata maziwa makuu na afrika ya kati [emoji4][emoji4]

Pia kuna clouds tv Botswana na Zimbabwe
Acha uongo huo wewe,check multichoice/dstv Africa uone uongo wako,acha mahaba yako hayo mkuu.
 
Kwani wasafi ina nini cha zaidi sana mpaka inashabikiwa hivi?

Kwenye DSTV channel za kibongo zipo:
1.Tbc- taka taka
2. Safari channel - Alhamdulilah.
3.Clouds Plus- TAKA TAKAA
4.E Tv ( ya majizo) - taka taka kabisa
Exclusively in EA only if Not Tz,not across Africa.
 
Back
Top Bottom