Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali wafafanulie vizuri mkuu maana mimi nachoka sasa,kweli uwalimu ni wito.Yes zipo ila je zinaruhusiwa kuonekana katika afrika yote? Je mtu wa Nigeria anaweza kuiona? Maana vifurushi vya DSTV na providers wengine vipo restricted regional-wise.
Fungua channel 296 utaipata wasafi TV. 295 ETV na 294 clouds plusMbona mnakuwa na sifa za uongo DSTv kuna Clouds Plus inaonyeshwa DSTv kwa zaidi ya miezi miwili sasa,pia kuna Safari Channel ya TBC au unadhani Entertainment ni muziki na mpira tu.
Safi mkuu mueleweshe maana watu hawaelewi masuala ya ricensing ya coverage yakoje na local au international stations zinaoperate vipi,Dstv wa huu ushamba watakwambia wamekuweka kweny dstv kumbe unaonekana Tanzania pekee unafikili TV y majizo inaonekana east Africa nzim
Tayari wasafi TV ipo DSTV channel number 296Habari wakuu?,I hope you do good.
Diamond platnumz leo wakati wa kutambulisha watangazaji wapya wa vipindi vya michezo pale wasafi HQs.
Mbele ya wageni waalikwa na mgeni rasmi waziri wa michezo mh,dkt.mwakyembe.
Ametangaza kuwa ndani siku chache zijazo yaani 3,wasafi TV itakuwa Inaonekana africa nzima na sio tz tu au hapa EA tu,hii itakuwa ndio the first entertainment media from EA region to broadcast across all african countries,
Tofauti na nyingine ambazo zina cover tz au EA tu.
Hadi hapa diamond atakuwa kaleta mapinduzi makubwa hapa Tanzania na EA kwa ujumla katika entertainment media industry.
Hongera kwake na ndicho tulichokuwa tunataka,challenge ni muhimu katika ukuaji wa tasnia ya habari naamini na wengine watafuata,ili hata mbongo ukiwa ghana uweze kucheki media za bongo bila wasi wasi.
Exactly mkuu,kuwa dstv sio sababu ya Tv fulani kuwa international,nyingi zinakuwa ni local tu zinaonekana nchi hio hio tu,mfano ukienda malawi kwenye dstv kuna channel za Malawi nyingi ambazo ukija tz hazipo kwenye dstv,maana sio international.hakuna alisema ni ya kwanza kuingia dstv bali jamaa kasema TV ya kwanza kuonekana Africa Continent nzima!
Yes of course but nyingi ni local,available only in Tanzania because most are local,and not international,ni tbc tu ndio international nadhani,Dstv anakuja vizuri naona kaanza rudisha Channel za bongo taratibu
Zipi hizo na ukiwa ndani ya nchi gani?
Kwa Tz TV zinazo cover africa nzima ni Tbc,safari channel maybe na itv au startv na zote hizo si entertainment media's.
Entertainment media kubwa za tz ni clouds,Etv,Eatv na ndio hii mpya ya wasafi TV,nenda kwenye web ya tcra ukaone Mwenyewe.
Au check dstv nigeria au South Africa uone kama zipo.
Wapi niliposema tbc ni entertainment mkuu soma x3 tena.
Umeandika huenda,kumbe nawewe ni debe tupu linakopiga ukelele,unabisha kitu ambacho hata wewe mwenyewe hukijui bure kabsa,kazi kufuata mkumbo utadhani.....Unaweza ukazitaja TCRA registered entertainment media kubwa za Tanzania?
Ukitaja tbc,startv na kina itv utakuwa ni kopo tu wewe,
Pia hiyo clouds + ni hapaTz au EA tu,check acha kulopoka na amesema entertainment media sio hizo za habari kama tbc na itv hizo uenda zinaonekana kama alivyojieleza.
Mkuu ngoja nikukubalie umeshinda maana mahaba hua yana levya, nyie ndio wale mnaodanganywa Donald trump kampongeza Magufuli na mnakomàa mpka povu linawatokaLead each line carefully before you comment! Who said that no other EA entertainment TV in dstv?
Am talking about coverage.
Wewe ndio umeongea pumba mwenzako ameongea facts na ameeleweka.Mkuu ngoja nikukubalie umeshinda maana mahaba hua yana levya, nyie ndio wale mnaodanganywa Donald trump kampongeza Magufuli na mnakomàa mpka povu linawatoka
Akijua mawingu wapo mpaka Dubai atazimia huyoKwa iyo unataka niambia ukiwa misri/southafrica
Super brand haionekani?
Na ata mawingu tv pia?
Akijua mawingu wapo mpaka Dubai atazimia huyo
Hata kiba ana kiba tv sema ndo vile hapendi kujionesha sana
Anaangaliaga na amina huko kwao mombasa ukweni ebooooooooooooh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we jamaa wewee