Wasafi TV ndani ya DSTV, katika nchi zote za Afrika

Wasafi TV ndani ya DSTV, katika nchi zote za Afrika

Mkuu ngoja nikukubalie umeshinda maana mahaba hua yana levya, nyie ndio wale mnaodanganywa Donald trump kampongeza Magufuli na mnakomàa mpka povu linawatoka
Such a pathetic bastard,leta point sio kuleta taarabu.
 
Umeandika huenda,kumbe nawewe ni debe tupu linakopiga ukelele,unabisha kitu ambacho hata wewe mwenyewe hukijui bure kabsa,kazi kufuata mkumbo utadhani.....
Check hilo neno huenda limetumikaje na sio kukurupuka You Dimwitted.
 
Hao leseni yao ya kitaifa unataka wafanyaje?
Wafanyaje kivipi mzee umelishwa tango pori nawe ukalimeza, ina maana hakuna suluhu juu ya hili kweli!, hata ziongezwe chanell gani sijui Etv,wasafi nk bila ITV kwenye dstv bado nyumbani hakuja noga,
 
TV zote za Bongo zilizowekwa ni PayTV tu hivyo zinaonekana hata Kenya
Yes of course but nyingi ni local,available only in Tanzania because most are local,and not international,ni tbc tu ndio international nadhani,
Then ndio hao wasafi TV wanaodai wanataka sio kuwa local bali international,
Across Africa.
 
Such a pathetic bastard,leta point sio kuleta taarabu.
Umeshindwa hoja una anza matusi, hio Africa nzima inatoka wapi wakati DStv yenyewe haipo Africa nzima badirika basi kizazi cha BRN
 
Wafanyaje kivipi mzee umelishwa tango pori nawe ukalimeza, ina maana hakuna suluhu juu ya hili kweli!, hata ziongezwe chanell gani sijui Etv,wasafi nk bila ITV kwenye dstv bado nyumbani hakuja noga,
Sikukuelewa samahani,dstv wabadiri leseni wapate yanye local mbona azam kapewa hiyo leseni? Bila kubadiri ni ngumu pia zile ni FTA sio pay sasa wao walikua wanauza ni kinyume cha sheria.
 
Kwani wasafi ina nini cha zaidi sana mpaka inashabikiwa hivi?

Kwenye DSTV channel za kibongo zipo:
1.Tbc- taka taka
2. Safari channel - Alhamdulilah.
3.Clouds Plus- TAKA TAKAA
4.E Tv ( ya majizo) - taka taka kabisa

POC:
ETV ni tofauti na TVE

TVE ndio ya Majizo- TAKATAKA kabisa [emoji736]
 
ricensing > licensing
Hivi hata spellings hajui.
Kweli yupo timamu. Kuna kujua spellings na kujua spellings.

Angesema linceensing. Kidogo tungejua kweli hajui spelling ila huyu ni zezeta.
Yani anatuwekea r kwenye l hadi kwenye kingereza?
 
Asante kwa masahihisho.

Ila naona hata wewe umekubali kuwa ni taka taka.

Naona Wasafi Tv ipo tayari dstv.
Ngoja tuone kama ipo vizuri ama nayo ni taka taka

Wengi tunakuwa na matarajio makubwa sana kwa WasafiTV, quality ya picha na content za vipindi ni vigezo muhimu.... tuwape muda.
 
Back
Top Bottom