Wasafi TV ndani ya DSTV, katika nchi zote za Afrika

Wasafi TV ndani ya DSTV, katika nchi zote za Afrika

Kwani wasafi ina nini cha zaidi sana mpaka inashabikiwa hivi?

Kwenye DSTV channel za kibongo zipo:
1.Tbc- taka taka
2. Safari channel - Alhamdulilah.
3.Clouds Plus- TAKA TAKAA
4.E Tv ( ya majizo) - taka taka kabisa

Hiyo ya mwisho ni channel namba ngapi mkuu?
 
Baadae kidogo nikimaliza kazi zangu nitarudi na link au dstv bouquet channels list za nchi zingine africa.
Nakuaminia Sana mzee wa facts, kiukwel diamond ameleta mapinduzi makubwa kwenye tansia ya habari baada ya kufanya mambo makubwa kwenye mziki.
 
Huyu huyu mond aliewahi sema kabla ya 2014 atakua amenunua private jet?
 
Kwani wasafi ina nini cha zaidi sana mpaka inashabikiwa hivi?

Kwenye DSTV channel za kibongo zipo:
1.Tbc- taka taka
2. Safari channel - Alhamdulilah.
3.Clouds Plus- TAKA TAKAA
4.E Tv ( ya majizo) - taka taka kabisa
Safari channel namba ngapi kwenye orodha mkuu
 
Habari wakuu?,I hope you do good.

Diamond platnumz leo wakati wa kutambulisha watangazaji wapya wa vipindi vya michezo pale wasafi HQs.
Mbele ya wageni waalikwa na mgeni rasmi waziri wa michezo mh,dkt.mwakyembe.

Ametangaza kuwa ndani siku chache zijazo yaani 3,wasafi TV itakuwa Inaonekana africa nzima na sio tz tu au hapa EA tu,hii itakuwa ndio the first entertainment media from EA region to broadcast across all african countries,
Tofauti na nyingine ambazo zina cover tz au EA tu.

Hadi hapa diamond atakuwa kaleta mapinduzi makubwa hapa Tanzania na EA kwa ujumla katika entertainment media industry.

Hongera kwake na ndicho tulichokuwa tunataka,challenge ni muhimu katika ukuaji wa tasnia ya habari naamini na wengine watafuata,ili hata mbongo ukiwa ghana uweze kucheki media za bongo bila wasi wasi.
Hivi inakuwaje dstv haipatikani africa nzima halafu tv iliyopo kwenye dstv ipatikane africa nzima?
 
Mbona mnakuwa na sifa za uongo DSTv kuna Clouds Plus inaonyeshwa DSTv kwa zaidi ya miezi miwili sasa,pia kuna Safari Channel ya TBC au unadhani Entertainment ni muziki na mpira tu.
Pia TVE ya Majizo iko dstv
 
Mbona mnakuwa na sifa za uongo DSTv kuna Clouds Plus inaonyeshwa DSTv kwa zaidi ya miezi miwili sasa,pia kuna Safari Channel ya TBC au unadhani Entertainment ni muziki na mpira tu.
Yes zipo ila je zinaruhusiwa kuonekana katika afrika yote? Je mtu wa Nigeria anaweza kuiona? Maana vifurushi vya DSTV na providers wengine vipo restricted regional-wise.
 
Clouds plus inashika nchi 40 africa

Bado kuna clouds tv rwanda ambayo inakamata maziwa makuu na afrika ya kati [emoji4][emoji4]


Pia kuna clouds tv Botswana na Zimbabwe
kwani Africa nzima ina nchi 40 tu??
 
Dstv anakuja vizuri naona kaanza rudisha Channel za bongo taratibu
 
Ata kariakoo tuna kiba tv..sema uwa inaonesha usiku tu..hatupendi show off
 
Huyu huyu mond aliewahi sema kabla ya 2014 atakua amenunua private jet?
Ilikuwa lengo lake hilo lakini nadhani akaona itakuwa ni uharibifu wa fedha
That's why aliamua kuziwekeza sehemu mbalimbali kama media unavoiona.
 
Hivi inakuwaje dstv haipatikani africa nzima halafu tv iliyopo kwenye dstv ipatikane africa nzima?
Umeongea point kubwa sana,
Inshort ni kuwa dstv not covering only zile nchi za kiarabu(misri,moroco nk),Yaani kwa hapa Africa,
Lakini ukiangalia ukitoa hizo za kiarabu dstv inachukua robo tatu ya bara la africa kwa coverage yake,
Waaranu wale ni wamejitenga.
 
Back
Top Bottom