Wasafi TV ndani ya DSTV, katika nchi zote za Afrika

Mbona niliwai ziona
Zipi hizo na ukiwa ndani ya nchi gani?
Kwa Tz TV zinazo cover africa nzima ni Tbc,safari channel maybe na itv au startv na zote hizo si entertainment media's.
Entertainment media kubwa za tz ni clouds,Etv,Eatv na ndio hii mpya ya wasafi TV,nenda kwenye web ya tcra ukaone Mwenyewe.
Au check dstv nigeria au South Africa uone kama zipo.
 
Entertainment unataja TBC!!!???
 
Mbona mnakuwa na sifa za uongo DSTv kuna Clouds Plus inaonyeshwa DSTv kwa zaidi ya miezi miwili sasa,pia kuna Safari Channel ya TBC au unadhani Entertainment ni muziki na mpira tu.
ushamba unakutesa sana..... WHOLE AFRICA hakuna chanel kutoka east africa.
 
hata kma unasifia usijitoe akili yaani EA wasafi TV ndio entertainment television ya kwanza kuingia DStv? Switch TV ya Kenya hujawahi iona?
 
Clouds plus inashika nchi 40 africa

Bado kuna clouds tv rwanda ambayo inakamata maziwa makuu na afrika ya kati [emoji4][emoji4]

Pia kuna clouds tv Botswana na Zimbabwe

hata kma unasifia usijitoe akili yaani EA wasafi TV ndio entertainment television ya kwanza kuingia DStv? Switch TV ya Kenya hujawahi iona?
Lead each line carefully before you comment! Who said that no other EA entertainment TV in dstv?
Am talking about coverage.
 
Clouds plus inashika nchi 40 africa

Bado kuna clouds tv rwanda ambayo inakamata maziwa makuu na afrika ya kati [emoji4][emoji4]

Pia kuna clouds tv Botswana na Zimbabwe
You know nothing.
 
Clouds plus inashika nchi 40 africa

Bado kuna clouds tv rwanda ambayo inakamata maziwa makuu na afrika ya kati [emoji4][emoji4]

Pia kuna clouds tv Botswana na Zimbabwe
Acha uongo huo wewe,check multichoice/dstv Africa uone uongo wako,acha mahaba yako hayo mkuu.
 
Kwani wasafi ina nini cha zaidi sana mpaka inashabikiwa hivi?

Kwenye DSTV channel za kibongo zipo:
1.Tbc- taka taka
2. Safari channel - Alhamdulilah.
3.Clouds Plus- TAKA TAKAA
4.E Tv ( ya majizo) - taka taka kabisa
Exclusively in EA only if Not Tz,not across Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…