Wasafi TV ndani ya DSTV, katika nchi zote za Afrika

Wasafi TV ndani ya DSTV, katika nchi zote za Afrika

Mziki 24/7 na picha za watoto wa diamond

Kwenye mitandao ni maswali kuhusu familia ya diamond

Mara tuko na wanangu tunakula anaweka picha ?

Mara mnaonaje nilivyosuka ? Ni ujinga mtupu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio maana dstv channel no. 100 ndio naipenda kuliko zote.
 
Chanel 481,451,139, nazipenda sana.. hivi black belt chanel iko dstv au Startime
 
Kwasasa wasafi tv ipo rasmi DStv inapatikana katika channel number 296.kwa wale waliotaka wasafi iwepo dstv ombi lenu limefanyiwa kazi.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Back
Top Bottom