Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah my favourite channel kwny dstv ni channel no. 100.
Asante.
Hahahaaa utakua huna hela ya kulipia...Daah my favourite channel kwny dstv ni channel no. 100.
Asante.
Last time naicheki ilikua sept 2018 kulikua na kipindi cha Refresh, Kimoja cha interview ya mastaaa.. sijui sasa hv..Kuna vipindi gani vizuri wasafi tV?
Hivi ina vipindi gani hasa?Channel ya kipuuzi sana hapa tz
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lipia tu hata cha elf19 mkuu
Hahah hali ngumu wadau.Hahahaaa utakua huna hela ya kulipia...
Hivi ina vipindi gani hasa?
Pole. Hamia kingamuzi cha startime antena..Hahah hali ngumu wadau.
Mi kila nikiweka hiyo channel nakuta miziki tu sasa sielewi hii channel inadili na miziki tu au vipiHivi ina vipindi gani hasa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mziki 24/7 na picha za watoto wa diamond
Kwenye mitandao ni maswali kuhusu familia ya diamond
Mara tuko na wanangu tunakula anaweka picha ?
Mara mnaonaje nilivyosuka ? Ni ujinga mtupu
Pole. Hamia kingamuzi cha startime antena..
Sasa kwenye hyo chanel kipindi gani unapenda
100 na 290Ndio maana dstv channel no. 100 ndio naipenda kuliko zote.