Wasaidizi wa kazi kutembea na Baba wenye nyumba kuna madhara. Dada wa Arusha apokonyea Mwili wa marehemu

Ila sheria ni ngumu sana ... sasa kikao cha ukoo na ndugu kisipokaa itakuwaje??? Nani atateuliwa kuwa msimamizi wa mirathi???... is it not automatic kuwa mke wa marehemu ndio msimamizi wa mirathi directly???... wanasheria tusaidieni.
 
Duh kumbe ndivyo ilivyokuwaga? Niliona title kwa millard ila sikufuatilia.
 
Wanawake hao ndio walivyo akipata nafasi ya kuwa mchepuko tayari anajiona mke. Ukiwa mzembe lazma atakuharibia kwa wife akiamini anaweza pindua meza aolewe yeye.

Mungu aniepushe na tamaa za kutamani na kuzaa watoto wa nje. Huleta migogoro sana siku ya msiba.
 
Mabinti waache tamaa, watapigwa na kitu kizito hawatakuwa na pakukimbilia

binti aache tamaa kivipi ? Binti karepiwa ndani weeee, halafu akafanywa mke.

Kazaa watoto wawili, kajengewa nyumba, kabanwa mbavu miaka kibao, tena mwanzoni kwa kurepiwa, kila aina za milalo, milalo ya kisheria na kinyume na kisheria, huyo ni wife, common law wife! Hana tamaa, katoa huduma, anastahili chake!
 
Wewe ni mpuuzi.. uwe raped uzae na watoto tena wawili?????...
 
Hio ipo sana arusha, mabinti na wanawake mijanamke ya mjini tena wengine wanatembea na magnjwa kama ukimwi wanamendea waume za watu wenye mali , usipokua makin ukiondoka unaiacha famiilia kwenye migogoro isiyokua na lazima, unawapa shida watoto wako na mkeo pia mana inabid arekebishe usenge wako ulioufanya duniani,
kama una mke tulia na mkeo, n zaid kama una hela mpendezeshe unavyotaka awe kama wengine unaowatamani, hakika hutoweka sehem zako za siri kwa hao mashankupe ya mjini yenye magonjwa lukuki na kutaka mali za bure.
 
Siyo kosa la Mahouse girl! Ni makosa ya Mama wenye nyumba!
Mama ukiruhusu housegirl tayari jua huyo ni mke mwenza wako!
Na wanatafutaga upenyo tu kidogo tu, na mke unaruhusu binti anamfulia boksa mumeo, mara amtengee maji ya kuoga mara chakula, mara akirud ampokee, na faza unaruhusu tu,
na wao wanatafuta maisha wanaangalia fursa penye upenyo anapita na gepu ukishtuka mimba ya miezi 8..mamaeh..
 
Nyumba ikigonga gari ni habari ila gari ikigonga nyumba si habari..kati ya ndugu 'bilionea marehemu' na house girl nani alimuanza mwenzie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…