Wasaidizi wa kazi kutembea na Baba wenye nyumba kuna madhara. Dada wa Arusha apokonyea Mwili wa marehemu

Wewe ni mpuuzi.. uwe raped uzae na watoto tena wawili?????...

Yes, zinaanzaga kwa kurepiwa....

Grace, njoo niletee maji chumbani, naumwa mgongo nibonyeze mabega... ghafla kibao kinageuzwa unabonyezwa wewe mbavu!

Power dynamics zilizopo kati ya tajiri na dada wa kazi ni sawa na P Diddy na wasanii wadogo wanaotaka mkataba. Akikushika paja ngumu kukataa... unalalwa huku unatoa kachozi, ndio repu zenyewe hizo !

Mara mbili tatu unazoea, unafanywa mke wa hiari! Hizi life experiences za dada wa ndani huzijui na huzielewi. Usiseme mi mpuuzi. Wewe ni uninformed, ignorant.

Tamaa ya mwanamme inakuaje tamaa ya dada wa kazi ?
 
Mke wa marehemu ndio super woman sasa, safi sana.

Haya mambo ya wanawake kukubali watoto wa kuletewa ndio mimi huwa sitaki, mume alinogewa alipoleta watoto wawili wote wakapokelewa ndio akaamua ajitwalie na house girl wakazae na kulea wengine wenyewe.

Mwanaume ukiamua kuoa tulia na mkeo na familia yako, kuacha mambo kama haya baada ya kufariki ni fedheha!
 
Ukiuliza unaambiwa mambo ya kizungu.

We hujawa ona maza house akishika mtoto analia ila akimshika hausigel anatulia kimya tena anafurahi..
Mabinti wengine wa kazi wamejaaliwa..wako huru kujiachia tu mbele ya baba,na kama unavyojua ndugu mjumbe,sisi wanaume babu yetu ni mfalme Suleiman..lazima tuwale tu,hamna namna
 
Chovya chovya mitoto kibao mali kibao hata mirathi hajaacha, huyo jamaa ni bwege na mbinafsi wa kiwango cha juu sana, haikufaa hata awe na familia.

Mwisho wa siku familia yake kwa sababu ya mali alizotafuta itanfata alipo kwa kupigana vipapai na visu.
 


Sheria ya mirathi ndio inasema hivi? Mtoto wa kiume? Kwanini??
 
hII tabia imeshamiri sana kanda ya ziwa ndugu wa marehemu kuona wana haki na mali ya ndugu yao niliona kwa tajiri wa Mummies mkolani alivyokufa aliwakomesha ndugu zake.Kumbe kabla ya hapo aliandika mirathi kabisa kuwa mali ni za watoto na mke wake asitokee kidudu mtu kudai labda tu awe kama mshauri.
 
Mke wa ndoa akiwa wapi?? What if watoto bado wanasoma
 
Umeandika mambo mengi ila umeandika pumba, eti ''dada wa kazi apokonyea mwili wa marehemu''!
Sa SI usahishe hapo, "apokonywa", niliandika vizuri ila niliandika kwa capital letters, wakati mods Wana edit ndo wamekosea
 
Mali inasimamiwa na msimamizi wa mirathi aliyechaguliwa na mahakama. Inaweza isiwe housegirl. Mpaka watoto watapofikisha 18
Suria yule, mke halali wa marehemu yupo na anacho cheti halali Cha ndoa ya kikristu. Na amesema mume wake ana mke mmoja tu. Na wale wanawake aliozaa nao watoto wawili wakapelekwa kwa mke mkubwa kulelewa nao wamejitokeza wamesema hawamjui mke wa pili wanamjua mke mkubwa tu. Na mke mkubwa amewaahidi haki za watoto wao. Kilichomponza housegirl ni madharau na tamaa na nyodo
 
Hiyo mirathi sio nyepesi.

Nawaza tu muhtasari wa kikao cha mirathi. Utasainiwa vipi na ukoo wa mume na hao watoto wa nje. Maana mahakama watauitaji kwenye mirathi
Siyo lazima ukoo usign. Kama hakuna maelewano katika ukoo mahakama inasikiliza case na kufanya maamuzi ya nani awe msimamizi. Ikiona kwamba hakuna anayefaa kuwa msimamizi inaweza kuweka RITA isimamie mgawanyo wa mali.
 
sijaelewa mantiki ya mkasa huu ila jambo moja nililoligundua ni kua ndugu zetu wakristo mnateseka sana na sheria yenu ya ndoa, mwanamme rijali mwenye fedha ni ngumu kua na mke mmoja, kama mmeweza kuruhusu ndoa za jinsia moja , basi na hili pia mkaliangalie
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Sasa Iran&Israel wameingiaje hapo?
 
Moderators naomba mrekebishe heading mlikosea wakati mnaedit isomeke "apokonywa" na sio "apokonyea"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…