Wasaidizi wa kazi za nyumbani wenye uzoefu na maadili mema

MrsPablo1

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2013
Posts
1,073
Reaction score
1,941
Kuna mabinti watatu wanatafuta kazi
Umri ni miaka 21,20,18,
Elimu kidato cha nne,
Wanauzoefu wa kutosha na kazi zote za nyumbani.
Mimi nafahamia na binti mmoja huyo wa miaka 21, hao wengine ni wadogo zake.
Mshahara utategemea na ukubwa wa familia yako, kati ya 70,000/ mpaka 100,000/.
Wapo mkoa wa ruvuma kama utahitaji huna haja ya kutuma nauli atakuja kwa nauli yake .
Kama ni mwanaume na unaishi mwenyewe hawatopendelea kufanya kazi mazingira kama hayo.

Kama una hitaji dada wa kazi karibu pm kwa maelezo zaidi na kupata ya dada utayemuhitaji.🙏
 
Wanajua kuongea English mkuu. Mana unakuta akina junior wakitoka shule inabidi wapige naye story kwa kiingereza smt anamsaidia home work. Ujue dunia Ina move sema sie tupo stationary. Ikiwezekana na desktop computer aijue ili wawe wanachezea magemu ili watoto wakue wakiwa na uelewa na komputa pia. Yaani dada modern,nadhani hapa akiitaka hata laki mbili kwa sifa hizo na unaona progress kwa mtt kimaarifa utampatia zawadi ya mtt ujue. Hata anord Shwaznegger alimpatia mty housekeeper wake. Sasa Ilo litoto katika matoto matano sijui sita bana wewe ndilo limemfanana hata anafuata nyayo za baba yake mzazi. Nadhani anakaribia kutoa movie hivi Karibuni. Housekeepers wasaidizi wazuri jamani tuwatumieni kwa mazuri.

Tokea kwa Sarah na Ibrahim alijua umuhimu wa msaidizi wa ndani.
 
Kwenye lugha wapo vizuri 80% mmoja wao hapo aliishia form v , na kuhusu kuwasimamia watoto homework na mambo mengine wanauzoefu tayari, sio wale wakutoka shamba unaanza kumfundisha kila kitu hapana,ni ugumu wa maisha tuu wameshindwa kuendelea na masomo.
 
Nahitaji huyo wa miaka 21. familia ina baba na mabinti wakubwa wawili na houseboy mmoja. kazi kubwa ni kufua, kusafisha nyumba na kupika. Dini ni wakristu ofa Tshs. 80,000.
Tafadhali tuwasiliane kwa 0754284749 au 0755067375
 
Upo mkoa gani?
 
Duu aisee Aliyetuumba awasimamie wapate ridhiki yao. Mtu kuwafungulia genge kusimamia inawezekana ama wao wanataka tu za ndani pekee mkuu. Mfano kuuuza meza ya matunda,ndizi, viazi, nyanya,yaani mazagazaga yote ya sokoni
 
Arusha mjini. Familia ya baba, mama na watoto 2, mkubwa miaka 5 mdogo miaka 2.
Wasaidieni, usikae na salary yake. Mfungulie benki akaunti ama mpesa atunze. Muelekeze anaweza akaishi na wewe miaka mitano akatoka kwako akafungua biashara zake ama akaenda kusoma akajiendeleza. Mungu awasaidie kila mmoja lengo lifikiwe. Maisha haya ukiwa mdogo unajua utakula tu kila siku,kumbe ukiwa mkubwa unaachwa mwenyewe uwinde porini kitoweo mwenyewe na pori limejaa majangili wanyama wakali nyoka kiboko yaani inatakiwa uwe so much skilled to win in the jungle with just slight edge than others predators
 
Duu aisee Aliyetuumba awasimamie wapate ridhiki yao. Mtu kuwafungulia genge kusimamia inawezekana ama wao wanataka tu za ndani pekee mkuu. Mfano kuuuza meza ya matunda,ndizi, viazi, nyanya,yaani mazagazaga yote ya sokoni
🙏, tatizo ni sehemu ya kukaa tuu, wakipata pakukaa wanafanya
 
Wasaidieni, usikae na salary yake. Mfungulie benki akaunti ama mpesa atunze. Muelekeze anaweza akaishi na wewe miaka mitano akatoka kwako akafungua biashara zake ama akaenda kusoma akajiendeleza. Mungu awasaidie kila mmoja lengo lifikiwe. Maisha haya ukiwa mdogo unajua utakula tu kila siku,kumbe ukiwa mkubwa unaachwa mwenyewe uwinde porini kitoweo mwenyewe na pori limejaa majangili wanyama wakali nyoka kiboko yaani inatakiwa uwe so much skilled to win in the jungle with just slight edge than others predators
Asante kwa ushauri, japo mimi niliandika kwa niaba ya wife. Ila kwa uzoefu kidogo niliouona, ni afadhali ukamlipa pesa yake yote mliyokubaliana kwa mwezi husika.
1. Mshahara wa 50,000 - 100,000 bado ni mdogo na hawa wengi bado wanategemewa na familia zao. Kiufupi haugawanyiki, japo wachache wanaweza. Kuna mmoja ilikuwa asipotuma kwao watamstress na yeye stress zake anahamishia kwa watoto
2. Kuna mazingira mengine either majirani au ndugu, jamaa na marafiki wakishajua anaweka pesa, na hasa kama unamuwekea, ndo yanaanza yale maneno kwamba unamfanyisha kazi bila mshahara. Hapa inategemea na akili za mtoto mwenyewe
3. Kuna wengine wanajua kabisa life ni tough na mshahara ni mdogo lakini bado atataka kwenda na dunia. Anaweza akajibana 2 months akanunue smartphone, ili tu aingie Facebook. Sisemi kwamba ni jambo baya, lakini, je anawaza kweli kwamba kuna future yake anapaswa aiandae?
 
Sure mkuu Ni suala la maisha na suala la preference za watu. Wengine wanajisaahau wanajiweka soap soap ili wapate kibopa awaoe sema Sasa hajulikani muoaji na mpitaji Ni Nani Mana wote watakuja kwake kwa lugha moja.

Iyo Ni kuwa anaweka labda Ile isiyo na makato,ama mpesa na unajitahidi kumu monitor ili angalau akitoka kwako atoke na kitu na ajivunie kupata ndugu wa faida.

Ilo la kutuma pesa home wengi hawajielewi ama wanaendeshwa. Home hawajui kuwa na yeye anatakiwa aandae maisha yake wao wanajua zikitoka zinarudi zingine. Baadaye ulifanya kazi miaka mitano ivi ulifanya Nini Sasa ulienda kupoteza muda tu ama ulikuwa unajiuza.
 
Kuna mabinti watatu wanatafuta kazi
Umri ni miaka 21,20,18,
Elimu kidato cha nne,
Wanauzoefu wa kutosha na kazi zote za nyumbani.
Mimi nafahamia na binti mmoja huyo wa miaka 21, hao wengine ni wadogo zake.
Mshahara utategemea na ukubwa wa familia yako, kati ya 70,000/ mpaka 100,000/.
Wapo mkoa wa ruvuma kama utahitaji huna haja ya kutuma nauli atakuja kwa nauli yake .
Kama ni mwanaume na unaishi mwenyewe hawatopendelea kufanya kazi mazingira kama hayo.

Kama una hitaji dada wa kazi karibu pm kwa maelezo zaidi na kupata ya dada utayemuhitaji.[emoji120]
Kwanza hongera kuwasaidia vijana wetu!! Mimi namuhitaji huyo was miaka 18 au yeyote!! Familia ya watu 3 , niko Morogoro! Namba ya simu 0753-315048! Hata kesho anaweza kuja, anipigie tuweke saw na maslahi yake.
 
Wanajua kuongea English mkuu. Mana unakuta akina junior wakitoka shule inabidi wapige naye story kwa kiingereza smt anamsaidia home work. Ujue dunia Ina move sema sie tupo stationary. Ikiwezekana na desktop computer aijue ili wawe wanachezea magemu ili watoto wakue wakiwa na uelewa na komputa pia. Yaani dada modern,nadhani hapa akiitaka hata laki mbili kwa sifa hizo na unaona progress kwa mtt kimaarifa utampatia zawadi ya mtt ujue. Hata anord Shwaznegger alimpatia mty housekeeper wake. Sasa Ilo litoto katika matoto matano sijui sita bana wewe ndilo limemfanana hata anafuata nyayo za baba yake mzazi. Nadhani anakaribia kutoa movie hivi Karibuni. Housekeepers wasaidizi wazuri jamani tuwatumieni kwa mazuri.

Tokea kwa Sarah na Ibrahim alijua umuhimu wa msaidizi wa ndani.
Dada wa Kazi ndio asimamie homework ya mtoto ako?
 
Nahitaji huyo wa miaka 21. familia ina baba na mabinti wakubwa wawili na houseboy mmoja. kazi kubwa ni kufua, kusafisha nyumba na kupika. Dini ni wakristu ofa Tshs. 80,000.
Tafadhali tuwasiliane kwa 0754284749 au 0755067375
ahsante sana baba 🙏🙏🙏
 
Dada wa Kazi ndio asimamie homework ya mtoto ako?
Mbona Kama unashangaa wapo ambao no educated Wana elimu zao. Wamesomea housekeeping kabisa. Sasa mfano mtt Yuko primary na huyo dada akamaliza olevo vizuri atashindwajae kuishi kiupendo na mdogo wake jamani.
Kwani hapo nyumbani ukiwa na mdogo wako wa hivyo hajajitegemea ama anasubiria michongo fulani huwezi mruhusu akamfundisha mwanao hata hesabu za aljebra Kama anazimanya.
Ama wewe unataka kusemaje kuwa dada wa kazi hawezi
 
Sikua na maan hyo.
Ila sio mbaya
 
Back
Top Bottom