Wasaidizi wa kazi za nyumbani wenye uzoefu na maadili mema

Kama una muda mzuri ni vzuri ufanye ww na mtoto homework. Muda huo utagundua uelewa wake ukoje, kipi haelewi kabisa, tabia mbaya na nzuri mpya.
Thank you mamii Ila,Ilo nalijua pia na huyo dada unamuachia kiasi kidogo so that to let her feel comfortable with her home not inferiority or segregation fulani
 
Kama una muda mzuri ni vzuri ufanye ww na mtoto homework. Muda huo utagundua uelewa wake ukoje, kipi haelewi kabisa, tabia mbaya na nzuri mpya.
Mimi nimeishia lasaba je ntafanya vipi homework na Jr wangu?? Anayesoma St marry
 
Na mimi nahitaji mmoja,Familia ya Baba,Mama na mtoto mmoja,Mshahara nitatoa 100,000,na naamini ni Mngoni mwenzangu hivyo tutakichapa kingoni kwa kwenda mbele,karibu pm tafadhali
 
Namba yake nakutumia pm
 
bado yupo mmoja
Nahitaji, familia nipo mimi na mchumba wangu, hatuna watoto, ni kwaajili ya kusaidia kazi za ndani pamoja na ujasiliamali wa viungo vya chakula salary 100k, Nipo Dar es salaam
Tuma msg kwa 0763152615
 
Kigezo cha kuishi Peke yangu kimeninyima msaidizi, nahitaji ila mazingira yangu kidogo yatakuwa changamoto. Kwanza atakaa mwenyewe kwa muda mrefu.
 
Kuna mazaa anaweza kuwa anakuja kufanya usafi,kufua, kupika ( American style anapika vyakula aina tofauti anaweka kwenye friji, freezer kazi yako kupasha kwenye microwave) . Mara moja kila wiki
 
Nahitaji, familia nipo mimi na mchumba wangu, hatuna watoto, ni kwaajili ya kusaidia kazi za ndani pamoja na ujasiliamali wa viungo vya chakula salary 100k, Nipo Dar es salaam
Tuma msg kwa 0763152615

Dar sehem gani tukupe
 
Kuna mazaa anaweza kuwa anakuja kufanya usafi,kufua, kupika ( American style anapika vyakula aina tofauti anaweka kwenye friji, freezer kazi yako kupasha kwenye microwave) . Mara moja kila wiki
Nashukuru mkuu,
 
Back
Top Bottom