Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Thank you mamii Ila,Ilo nalijua pia na huyo dada unamuachia kiasi kidogo so that to let her feel comfortable with her home not inferiority or segregation fulaniKama una muda mzuri ni vzuri ufanye ww na mtoto homework. Muda huo utagundua uelewa wake ukoje, kipi haelewi kabisa, tabia mbaya na nzuri mpya.
Mimi nimeishia lasaba je ntafanya vipi homework na Jr wangu?? Anayesoma St marryKama una muda mzuri ni vzuri ufanye ww na mtoto homework. Muda huo utagundua uelewa wake ukoje, kipi haelewi kabisa, tabia mbaya na nzuri mpya.
Na huko chuo unatafuta nini?!Mimi nimeishia lasaba je ntafanya vipi homework na Jr wangu?? Anayesoma St marry
SawA nmekuelewa pia vzuriThank you mamii Ila,Ilo nalijua pia na huyo dada unamuachia kiasi kidogo so that to let her feel comfortable with her home not inferiority or segregation fulani
Pamoja mamii mlee jamii ya Taifa letu liwe na watu Bora na wenye kuheshimika.SawA nmekuelewa pia vzuri
AminaPamoja mamii mlee jamii ya Taifa letu liwe na watu Bora na wenye kuheshimika.
Check inbox mkuuMimi nahitaji anayekuja kufanya usafi over the weekend, siku moja na anaondoka, maslahi tutakubaliana.
SawaCheck inbox mkuu
Nahitaji, familia nipo mimi na mchumba wangu, hatuna watoto, ni kwaajili ya kusaidia kazi za ndani pamoja na ujasiliamali wa viungo vya chakula salary 100k, Nipo Dar es salaambado yupo mmoja
Kuna mazaa anaweza kuwa anakuja kufanya usafi,kufua, kupika ( American style anapika vyakula aina tofauti anaweka kwenye friji, freezer kazi yako kupasha kwenye microwave) . Mara moja kila wikiKigezo cha kuishi Peke yangu kimeninyima msaidizi, nahitaji ila mazingira yangu kidogo yatakuwa changamoto. Kwanza atakaa mwenyewe kwa muda mrefu.
Nahitaji, familia nipo mimi na mchumba wangu, hatuna watoto, ni kwaajili ya kusaidia kazi za ndani pamoja na ujasiliamali wa viungo vya chakula salary 100k, Nipo Dar es salaam
Tuma msg kwa 0763152615
ToangomaDar sehem gani tukupe
Nashukuru mkuu,Kuna mazaa anaweza kuwa anakuja kufanya usafi,kufua, kupika ( American style anapika vyakula aina tofauti anaweka kwenye friji, freezer kazi yako kupasha kwenye microwave) . Mara moja kila wiki