Wasambaa ni moja ya watu wenye lafudhi mbovu zaidi Tanzania

Wasambaa wakakaza meno wakiongea ndo tatizo .Wadigo na wapemba kiswahili Chao kizuri kwa vile wanalegeza Midomo na wanaweza kucontrol rising and falling tone katika maongezi hata kuimba.

Ila wasambaa kukaza mdomo ndo maana wanashindwa kutaja R na L Mfano kwao Lushoto wanasema ushoto.

Halafu maneno ya kiswahili wanataka kutamka katika kisambaa ndo wanapokosea sanitizer wanasema Hasan teiza ili mradi walifanyie liwe neno ya kisambaa.
 
Hatujasahau tunamtaka ajitokeze hadharani kuwaomba radhi wajane na wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…