Wasambaa ni moja ya watu wenye lafudhi mbovu zaidi Tanzania

Wasambaa ni moja ya watu wenye lafudhi mbovu zaidi Tanzania

Nadhani wasukuma wanaongoza...wale raia wanaongea kwa msuli mno

Wanatumia nguvu sana kuongea, halafu kuna waha nao wana lafudhi ya kishamba kwa mfano hakuna kitu wao wanasema hakuna bhana
 
Shasha mgosi ivi yule mzee analamba asali ni wa kwenu au ni mtaniii
 
Halafu kuna lafudhi kichekesho ya wangoni, wamatengo, wandendeuli, wayao, wamwera, wamanda hawa nao kituko
 
Kuna wakulya nao lafudhi yao hafifu sana , wajaluo , wafipa, wapimbwe, wasafwa, wawanji, wanyiha, wanyakyusa, wabena, wanyamwanga, wahehe, wagogo, wasandawe, hao wote hamna kitu
 
Wasambaa wakakaza meno wakiongea ndo tatizo .Wadigo na wapemba kiswahili Chao kizuri kwa vile wanalegeza Midomo na wanaweza kucontrol rising and falling tone katika maongezi hata kuimba.

Ila wasambaa kukaza mdomo ndo maana wanashindwa kutaja R na L Mfano kwao Lushoto wanasema ushoto.

Halafu maneno ya kiswahili wanataka kutamka katika kisambaa ndo wanapokosea sanitizer wanasema Hasan teiza ili mradi walifanyie liwe neno ya kisambaa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona tumefikiwa
 
Halafu kuna wapogoro, wakaguru, waluguru, wandengereko, wazaramo, wakwewe, wadigo, wazigua, wabondei, wamakonde, wajikenda, hawa nao lafudhi zao chenga tupu
 
Kuna siku kuna jamaa alijichanganya akaingia kwenye nyumba ya wasambaa,,
Basi sisi tupo nje tunasikia kelele huko ndani,,
Mtoe,, mtoe,,aisee mtoeee

Baada ya muda tukasikia kimyaaa..
Jamaa kumbe washaua.

Kumbe neno mtoe kisambaa ni piga,,

Tulihuzunika sana majirani..
 
Halafu watu wa singida wanalazimisha lafudhi ya kichaga na kiarusha
Acha uongo😂😂😂Unalazimisha singida labda useme ile kama warangi kwa mbali na wamasai ila sio izo.

Kingine kwa bongo hakuna lafudhi ya kuuzidi ya kidigo na haitokuja kutokea ule mwambao wao mpaka mombasa izo ndo best..

Hao unawaongelea wanapiga watu wa Kenya kweny kuongea.
 
Back
Top Bottom