Wasambaa ni moja ya watu wenye lafudhi mbovu zaidi Tanzania

Wasambaa ni moja ya watu wenye lafudhi mbovu zaidi Tanzania

Halafu kuna wapogoro, wakaguru, waluguru, wandengereko, wazaramo, wakwewe, wadigo, wazigua, wabondei, wamakonde, wajikenda, hawa nao lafudhi zao chenga tupu



Wadigo ni habari nyingine @ Mpendwa [emoji108][emoji4]
 
Kuna siku kuna jamaa alijichanganya akaingia kwenye nyumba ya wasambaa,,
Basi sisi tupo nje tunasikia kelele huko ndani,,
Mtoe,, mtoe,,aisee mtoeee

Baada ya muda tukasikia kimyaaa..
Jamaa kumbe washaua.

Kumbe neno mtoe kisambaa ni piga,,

Tulihuzunika sana majirani..



Hata Kwa kizigua ni hivyo hivyo [emoji4]
 
Nimemwambia kwa hapa bara hakuna kama wadigo na haitokuja kutokea daima..Lafudhi nzuri yaani hata mtu akiwa na hasira unaona anaongea kawaida tu.



Huo ndio ukweli usopingika abadani

Yani hata kulia kwao utasema wanatania yaani yaani ni Kwa poozi tamu [emoji3] bila kukunja ndita kama askari.

Mtu kafiwa na mtu wake wa karibu sana lakini utasikia akilia kwa uchungu “ jamani leo” ile ya herufi L nzuri yenyewe [emoji108]
 
Wadigo hata kwenye upishi na lugha njema wanaongoza wengine wanafuatia [emoji108]

Wanajua kumsitiri Mwanaume,

Hawaongei wakamaliza.

Ukimuudhi sana atasusa na kudai talaka yake arudi kwao hata kama wanakula mlo mmoja kwa siku hawajali kuondoka kwa Mwanaume tajiri mwenye hela.

Na hii ni kasoro yao kubwa sana!
 
Aione Shimba ya Buyenze [emoji1544][emoji1550]
Mtuwache!
Screenshot_20221212-072040_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom