Wasambaa ni moja ya watu wenye lafudhi mbovu zaidi Tanzania

Wasambaa ni moja ya watu wenye lafudhi mbovu zaidi Tanzania

Unawajua wakojani wewe
Kama huwezi kwenda huko kwao jitahidi uende pale feri asubuhi
Na ustaajabu
 
SShShida wote wanaeme kwa wanawake wanaongea kwa mahaba na mideko.licha ya ubora wa lafudhi (dhao)
 
Kwani mshana wewe ni mgosi au mpare???
Wasambaa na wapare ni ethics moja wote ni WA kule milimani ,wanaweza kuongea kisambaa na kipare wakafanana na kuelewana ..Kuna a thin line ila wanafanana kwa asilimia 90 hizi jamii mbili ndo zinaendana na wachaga .

Lushoto pale ukifika ukienda huko rangwi, mkuzi ,sijui wapi unakuta wapare kibao kwa population ya pale wapare wako almost 40% ni ngumu kuwatofautisha na wasambaa hata ongea yao.
 
Kwani mshana wewe ni mgosi au mpare???


Screenshot_20221217-091217.png
 
Back
Top Bottom