SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Hujamuelewa Mshana,Mpare ndiyo Kabila lakini Mgosi siyo kabila, Wasambaa,Wazigua,Wabondei na Wapare hawa wote ni Wagosi.Kabila la mtu huwa ni moja tu na huwa ni la baba mzazi tu. [emoji4]
Mtoe zaiko azue shuke kabisang'etimtoe zongo ja goshi
😂😂😂hapa imebidi hata mimi nicheke kwanzaMtoe zaiko azue shuke kabisa
Akighenda via haita [emoji23]ng'etimtoe zongo ja goshi
Aavye mesho sa kiduu meshoMtoe zaiko azue shuke kabisa
Wazamja mpaka wazamuavya bawasiriWaajighwa iwe ni washai..
Ugali = ugaiHawanaga L na R ,
Watataja ile consonat husika.
Matharani: Korogwe = Koogwe
Burudani = Buudani
Lushoto = Ushoto
Arusha = Ausha
N.k.
Ugali ni ughaiUgali = ugai
Tano= shano
Mosie u dashi iweVyote mlivyosema wenyewe
Nh puuishi [emoji23]Mosie u dashi iwe
eidashukeMosie u dashi iwe
amesema "Maendeleo hayana Chama"Ameniambia nini hapo? Nisaidie kutafsiri
Aitoighwe kisimoeidashuke
Hata mimi!?[emoji16]View attachment 2480352
Wasambaa sio wa kuaamini
Tena ni kisimo cha kuiAitoighwe kisimo