Ila hata salome ni kiki tu ila ni mbaya bora rayvany kuliko domo karudia mistari ya saida tuNipo mtani, salome imebuma wapi wakati imehit 3M viewers ndani ya 10 days! ? Ila tuache masihara hiyo nisamehe ni nyimbo mbaya kupata kuimbwa na baraka.
Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
Utanifanya nicheke we unachuki 2 na mondIla hata salome ni kiki tu ila ni mbaya bora rayvany kuliko domo karudia mistari ya saida tu
Usiku mwema mtani popote ulipo
Mkuu sisi tunazungumzia wabana pua we unawataja wa banaa koo tena zilipendwa wake up
We ndio unawashwa, unajuaje kama kila posti inayomuhusu DIAMOND nipo, kama sio wewe ndio upo kila posti inayomuhusu yeye ..........???we jamaa usisikie diamond tu ushawashwa ebu badilika kila thread inayomuhusu diamond upo
Hehehe umeongea ukweli mtupuNyimbo zingine ni mbaya tu acheni zibume jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Binafsi mi ni timu diamond damu lakini hata diamond akitoa wimbo mbaya ukibuma sitatafuta justification! Ujue kuna Wimbo hata ukiwa hater vipi utajikuta tu unaupenda na kuucheza, mi sipendi unafiki wimbo wa [HASHTAG]#Aje[/HASHTAG] naucheza sana na kuuimba kabisa.
Btw Ado Ado ya mo music mi naiona nzuri nashangaa why haijahit.
Nakubaliana na sababu zako mkuu, ila ningependa kukuchallenge kuwa hata wimbo ufanyiwe promo vipi utabuma tu. Mfano [HASHTAG]#nisamehe[/HASHTAG]
Yaani umebuma mazima..na huu wa katanga ndio tumeshatema big GKidogo by Diamond na P square.
Nao umebuma, kubali kataa...
100,000%Kidogo by Diamond na P square.
Nao umebuma, kubali kataa...
Wabana koo ndiyo wezi kinouma Mkuu.Binafsi huwa sishabikii wimbo unaorudiwa kama Domo alivyorudia wimbo wa Saida Kaloli inamaanisha kaishiwa mashairi au? Ndo maana mi huwa nipo kwa wabana koo tu, maana huku hakuna ujinga wa kuibiana mashairi
Shenzi makabila hayausiki humu kama unahamu yakutaja kabila taja lakosi msukuma yule,rangi ya kale kademu inamchanganya
Wimbo gani? Mbona sijawahi sikia mmoja akilalamika kuibiwa mashairiWabana koo ndiyo wezi kinouma Mkuu.
Jaribu kuangalia mashairi ya fid Q ndiyo utajua.
JIHESHIMU WW....yule ni MJARUO amekuja mwanza kwa kuzamia magari toka mara.wasukuma si malimbukeni kama huyo BARAKA DA LIPUMBA.nimesoma na huyo dogo pamba primary school alkuwa na tabia za kujikweza hata tulipokuwa tunaenda kucheza mpira huko kwao mabatini alkuwa ndo wa kuweka mpira kwapani akiona tunaelekea kuwafungasi msukuma yule,rangi ya kale kademu inamchanganya
Umeuaaaa[emoji23]JIHESHIMU WW....yule ni MJARUO amekuja mwanza kwa kuzamia magari toka mara.wasukuma si malimbukeni kama huyo BARAKA DA LIPUMBA.nimesoma na huyo dogo pamba primary school alkuwa na tabia za kujikweza hata tulipokuwa tunaenda kucheza mpira huko kwao mabatini alkuwa ndo wa kuweka mpira kwapani akiona tunaelekea kuwafunga