Wasanii 10 waliobuma pamoja na kutoa nyimbo kali

Wasanii 10 waliobuma pamoja na kutoa nyimbo kali

Nipo mtani, salome imebuma wapi wakati imehit 3M viewers ndani ya 10 days! ? Ila tuache masihara hiyo nisamehe ni nyimbo mbaya kupata kuimbwa na baraka.

Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
Ila hata salome ni kiki tu ila ni mbaya bora rayvany kuliko domo karudia mistari ya saida tu
Usiku mwema mtani popote ulipo
 
Mkuu sisi tunazungumzia wabana pua we unawataja wa banaa koo tena zilipendwa wake up


Mkuu hapo ni utokaji wao haya hawa sio wabana pua rama dee,mr paul,banana,duly sykes, mbele brown,usher,trey songz,r kelly mziki kama unajua unatoka tu madem wananafas ndogo sana
 
hakuna cha team wala nini, upuuzi wa watanzania kuwa na kinyongo na watu flan flan na kumuona mtu 1 ndo anaweza ndo umeleta haya

kila mmoja anamlaumu baraka kwa kuwa team flan

mbona hamtoi sababu kwa kassimu, jide, mo music, kala (japo yupo kimakosa)

mmekalia timu timu...acheni uongo wakuu
 
we jamaa usisikie diamond tu ushawashwa ebu badilika kila thread inayomuhusu diamond upo
We ndio unawashwa, unajuaje kama kila posti inayomuhusu DIAMOND nipo, kama sio wewe ndio upo kila posti inayomuhusu yeye ..........???
 
Daah manuari bonge la nyimbo sijui kwann imebuma
 
Nyimbo zingine ni mbaya tu acheni zibume jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Binafsi mi ni timu diamond damu lakini hata diamond akitoa wimbo mbaya ukibuma sitatafuta justification! Ujue kuna Wimbo hata ukiwa hater vipi utajikuta tu unaupenda na kuucheza, mi sipendi unafiki wimbo wa [HASHTAG]#Aje[/HASHTAG] naucheza sana na kuuimba kabisa.

Btw Ado Ado ya mo music mi naiona nzuri nashangaa why haijahit.

Nakubaliana na sababu zako mkuu, ila ningependa kukuchallenge kuwa hata wimbo ufanyiwe promo vipi utabuma tu. Mfano [HASHTAG]#nisamehe[/HASHTAG]
Hehehe umeongea ukweli mtupu
 
M nashangaa watu mnaosema u timu ndio unarudisha watu nyuma ,hilo ninalipinga 100%.juhudi zko binafs ndio zitakupandisha sasa wewe msanii unatoa wimbo haupigii promo kila saa marafiki zako hawakupigii promo halafu unakaa siku mbil nyimbo inabuma unalalamika eti timu na media zinawaangusha hakuna kitu kama hicho
Diamond anafanya promo mwenyew,familia yake nzima inafanya promo ya wimbo wake huohuo kila siku kila saa hyo nyimbo itaacha kua gumzo kweli?hyo nyimbo lazm imtengenezee wasikilizaj weng ambao hao ndio mnaita team diamond,sas mf barakah da prince ameridhika wala hapig promo nyimbo yake anasubiri apate team ataipatia wap? Alikiba mwenyew akifany promo sku mbili anatulia anasubiria mpak atoe nyimbo ndio afany promo .sasa hv mzik n biashara usipopambana kwa ku advertise mzik wako utaishia kulalamika mpaka unafulia ukilalamikia team na media
 
Huo wimbo wa Banana Zorro X Msechu naukubali sana, ni wimbo ambao nilijua utafanya vizuri sana mwaka huu.
 
Binafsi huwa sishabikii wimbo unaorudiwa kama Domo alivyorudia wimbo wa Saida Kaloli inamaanisha kaishiwa mashairi au? Ndo maana mi huwa nipo kwa wabana koo tu, maana huku hakuna ujinga wa kuibiana mashairi
 
Binafsi huwa sishabikii wimbo unaorudiwa kama Domo alivyorudia wimbo wa Saida Kaloli inamaanisha kaishiwa mashairi au? Ndo maana mi huwa nipo kwa wabana koo tu, maana huku hakuna ujinga wa kuibiana mashairi
Wabana koo ndiyo wezi kinouma Mkuu.

Jaribu kuangalia mashairi ya fid Q ndiyo utajua.
 
si msukuma yule,rangi ya kale kademu inamchanganya
JIHESHIMU WW....yule ni MJARUO amekuja mwanza kwa kuzamia magari toka mara.wasukuma si malimbukeni kama huyo BARAKA DA LIPUMBA.nimesoma na huyo dogo pamba primary school alkuwa na tabia za kujikweza hata tulipokuwa tunaenda kucheza mpira huko kwao mabatini alkuwa ndo wa kuweka mpira kwapani akiona tunaelekea kuwafunga
 
JIHESHIMU WW....yule ni MJARUO amekuja mwanza kwa kuzamia magari toka mara.wasukuma si malimbukeni kama huyo BARAKA DA LIPUMBA.nimesoma na huyo dogo pamba primary school alkuwa na tabia za kujikweza hata tulipokuwa tunaenda kucheza mpira huko kwao mabatini alkuwa ndo wa kuweka mpira kwapani akiona tunaelekea kuwafunga
Umeuaaaa[emoji23]
 
Back
Top Bottom