Wasanii 10 waliobuma pamoja na kutoa nyimbo kali

wimbo wa jide mbona nao uko mtaani, huku kwenye vibanda vya kubani miziki, watu wanauomba sana.
 
Binafsi huwa sishabikii wimbo unaorudiwa kama Domo alivyorudia wimbo wa Saida Kaloli inamaanisha kaishiwa mashairi au? Ndo maana mi huwa nipo kwa wabana koo tu, maana huku hakuna ujinga wa kuibiana mashairi
jombaaaa unajua unachoongea au? yalaiti ya mwanafa,dakika moja ya ay n fa unajua original zake? hizo ni hip hop c ndivyo
 
Lakini team zipo kila nchi hata marekani zipo.. Huo ndio ushindani. So wasanii wawe hard workers watoe kazi nzuri.. Wasitegemee team zao tu ndio waskilize muziki wao.. Mbona wakitoa nyimbo nzuri kila mtu atajikuta anaipenda...
 
Kumbe hujui kitu afu unajitia ujuaji.
Nimekubali sijui, sawa, wewe unaejua ziweke hapa, maana sijawahi kusikia msanii akilalamika kuibiwa mashairi ya hiphop, tofauti na hao wabana pua, Kama Diamond kakopi Kitolorondo ya Nurdin aliomshirikisha Aslay yeye kaita mdogo mdogo, My Number One kaiba kwa H- Baba (sweet sweet) na beat yake kaiba ya Dayna Nyange, Nitampata wapi kuna mashairi ya Q chief, Shetta n.k., huu wa sasa hujui karudia wa nani? Haya mimi nimekuwekea orodha ya nyimbo alizocopy Diamond, sasa nasema hivi niwekee hizo nyimbo za Hip Hop hapa ambazo unadai Mwana Fa na AY wamecopy yaani nataka kuzijua Original zake sio unaniambia mimi "najifanya mjuaji wakati sijui kitu". Wakati wewe kuweka Original tu unashindwa, Pia mimi sikuanza kufuatilia Bongo freva baada ya ujio wa Diamond, mimi nimeanza na Mr. II kipindi muziki wa kizazi kipya unaitwa wa kihuni, nilikuwa na Tape ya album ya Mr.II inayoitwa Ni Mimi hii nakumbuka ilitoka 1995 na huyu Ndio muasisi wa Hip Hop Bongo,sasa wewe uliyeanza kufuatilia Bongo Fleva 2008( baada ya Diamond inawezekana hata wimbo uliomtambulisha hujui unaitwaje), Niwekee Original ya Yalaiti alioimba Mwana Fa na Linah na Original za kina AY na FA-Dakika moja
 
Duuh yani track zingine nilikua hata sijui kama zimetoka i.e hio ya ommy dimpo tatizo wcb wametake over mziki wa bongo wanaskika wao tu...watu wawekeze kwenye branding na promo.. .
 
Hayo uliyoongea huko juu kuhusu diamond umesimuliwa au? Hebu ilete kitorondo unayoisemea na mdogomdogo afu utuambie Diamond amecopy nini! Ni kale kamstari "kitorondo kaingiaje" ndo kucopy au? My number one kaiba nini cha H baba nazo bado ni blah blah unless uprove otherwise. Halafu with confidence kabisa unaniambia "haya nimekuwekea alizocopy Diamond" hahaha

Hayo mengine kamuulize aliyekuqoute at first sio mimi.
 
Kumbe wewe ni Kir a za unajua kushabikia tu ndo wote nyie akiwadhalilisha bado mtamsifia tu, Simfuatilii Diamond peke yake msanii yeyote anayetoa nyimbo nzuri huwa namfuatilia, Diamond nazipenda nyimbo zake za zamani kama 1. Kamwambie, 2. Mbagala 3. Nitarejea hizi ndizo ninazozikubali mimi binafsi, halafu usiwe mbishi binti msanii inatakiwa awe mbunifu sio aige kwa wenzie. Ukubali...ukatae...Diamond kashindwa kutunga nyimbo. Pia kwa nini umeni QUOTE kama unajua huwezi kujibu maswali yangu, kwa nini umeniambia najifanya mjuaji kumbe sijui kitu au umejisikia nyege tu ndo umeamua kuniQuote? Siku nyingine usipende kushoboka, maana nilimuuliza mwingine nashangaa wewe unatoka huko na minyege yako unaniambia mimi najifanya mjuaji.
 
Povu lote ilo la nn km umekula omo.....kama vipi anza kuwa unamtungia ww sasa
 
Povu lote ilo la nn km umekula omo.....kama vipi anza kuwa unamtungia ww sasa
Mkuu povu liko wapi hapo, nimeandika kulingana na uelewa wangu,Wewe kama Uume hausimami unapolala basi ujue unamatatizo, nakumbuka O Level Ticha wa Biology aliniambia nikilala kiubavu ubavu ukiamka hautakuta Uume ukiwa umesimama lakini mimi nikijaribu kufanya hivyo wapi bado naona Jogoo anawika tena vizuuri, sasa wewe kama ni wa kiepe usifikiri kila mtu yupo kama wewe, Ukweli ni kwamba inatakiwa ujue nimeandika ninachokielewa,sicho unachofikiria. Pia hata asubuhi ukiamka lazima ukute Uume umesimama ( wakati ulipokuwa usingizini ulikuwa hujitambui)
 
Funguka mkuu Original zake ni zipi nizifuatilie
Yalaiti ya Mwana Fa na Linah maudhui na kiitikio vimetoka kwa Yalaiti ya Bi Kidude.

Ay na Fa wimbo wa Nangoja Ageuke beat yake kuna groove wameitoa kwenye wimbo wa Wars wa Bob Marley.

Kuna wasanii kipindi hicho Godzilla, Stereo, Niki Mbishi ilikua ukisikiliza wimbo unashindwa kuwatofautisha Godzilla akabadilika akaamua kurap kama 50 cent huko pia kuna watu wakamfuata.
 
Wimbo wa msanii kuhit naona kua inatokana na promo na mimi ninavyojua kwa wenzetu promo hufanyi msanii ila lebo yako ndo itahusika kukutafutia ziara ambazo zitakuonesha kama unaweza au huwezi ila huku kwetu kazi ni kuletewa pop ups za insta na twitter zikirecommend ukaangalie wimbo fulani. Mfano wimbo wa Coco wa Ot Genasis umehit kwakua ni mzuri sio kwa kua anatoka lebo ya Buster wimbo wa Panda wa Desiigner umehit kwakua ni mzuri sio kwa kua anatoka lebo ya Good Music
 

Mkuu acha jazba bana, we ongea fact tu

Swala la kurudia wimbo wa mtu au kutuhumiana kuibiana mashairi au midundo ni sehemu ya muziki duniani kote

Michael jackson kashtakiwa zaidi ya mara 10 kwa tuhuma za kuiba mashairi au midundo
Achilia akina tupac, pididy, lily wyne, marvin gay to mention a few

Kurudia nyimbo ndio usiseme kabisa

Kurudia wimbo sio kuishiwa kutumga mkuu

Nilianza kuwasikiliza akina Kwanza unit, mr Paul nao pia walirudia nyimbo
Akina jay dee, Ali kiba, mana fa nk

Ya laiti ni wimbo maarufu sana wa taarabu
 
Kinachoenda kuua mziki wa Tanzania almaarufu bongofleva ni uwepo wa hizi team....team mond na team kiba.....watu wengi concentration ipo kwa hawa wawili....na mbaya zaidi wasanii wengine wameingia kwwnye huu mtego....inachekesha kuona msanii naye anakuwa na mlengwa wake kati ya hizi team mbili bila kujua wanajiua km brand.... wcb tunakoelekea itageuka kuwa music industry by itself na pia kiba na label yake itakuwa ni music industry nyingine.....
 
Ongezea na collabo la Simba na papa wemba, pamoja na kidogo feat psquare
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…