niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,606
- 5,295
wimbo wa jide mbona nao uko mtaani, huku kwenye vibanda vya kubani miziki, watu wanauomba sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jombaaaa unajua unachoongea au? yalaiti ya mwanafa,dakika moja ya ay n fa unajua original zake? hizo ni hip hop c ndivyoBinafsi huwa sishabikii wimbo unaorudiwa kama Domo alivyorudia wimbo wa Saida Kaloli inamaanisha kaishiwa mashairi au? Ndo maana mi huwa nipo kwa wabana koo tu, maana huku hakuna ujinga wa kuibiana mashairi
Mwabheja Sana shenziShenzi makabila hayausiki humu kama unahamu yakutaja kabila taja lako
Funguka mkuu Original zake ni zipi nizifuatiliejombaaaa unajua unachoongea au? yalaiti ya mwanafa,dakika moja ya ay n fa unajua original zake? hizo ni hip hop c ndivyo
Kumbe hujui kitu afu unajitia ujuaji.Funguka mkuu Original zake ni zipi nizifuatilie
Nimekubali sijui, sawa, wewe unaejua ziweke hapa, maana sijawahi kusikia msanii akilalamika kuibiwa mashairi ya hiphop, tofauti na hao wabana pua, Kama Diamond kakopi Kitolorondo ya Nurdin aliomshirikisha Aslay yeye kaita mdogo mdogo, My Number One kaiba kwa H- Baba (sweet sweet) na beat yake kaiba ya Dayna Nyange, Nitampata wapi kuna mashairi ya Q chief, Shetta n.k., huu wa sasa hujui karudia wa nani? Haya mimi nimekuwekea orodha ya nyimbo alizocopy Diamond, sasa nasema hivi niwekee hizo nyimbo za Hip Hop hapa ambazo unadai Mwana Fa na AY wamecopy yaani nataka kuzijua Original zake sio unaniambia mimi "najifanya mjuaji wakati sijui kitu". Wakati wewe kuweka Original tu unashindwa, Pia mimi sikuanza kufuatilia Bongo freva baada ya ujio wa Diamond, mimi nimeanza na Mr. II kipindi muziki wa kizazi kipya unaitwa wa kihuni, nilikuwa na Tape ya album ya Mr.II inayoitwa Ni Mimi hii nakumbuka ilitoka 1995 na huyu Ndio muasisi wa Hip Hop Bongo,sasa wewe uliyeanza kufuatilia Bongo Fleva 2008( baada ya Diamond inawezekana hata wimbo uliomtambulisha hujui unaitwaje), Niwekee Original ya Yalaiti alioimba Mwana Fa na Linah na Original za kina AY na FA-Dakika mojaKumbe hujui kitu afu unajitia ujuaji.
Hayo uliyoongea huko juu kuhusu diamond umesimuliwa au? Hebu ilete kitorondo unayoisemea na mdogomdogo afu utuambie Diamond amecopy nini! Ni kale kamstari "kitorondo kaingiaje" ndo kucopy au? My number one kaiba nini cha H baba nazo bado ni blah blah unless uprove otherwise. Halafu with confidence kabisa unaniambia "haya nimekuwekea alizocopy Diamond" hahahaNimekubali sijui, sawa, wewe unaejua ziweke hapa, maana sijawahi kusikia msanii akilalamika kuibiwa mashairi ya hiphop, tofauti na hao wabana pua, Kama Diamond kakopi Kitolorondo ya Nurdin aliomshirikisha Aslay yeye kaita mdogo mdogo, My Number One kaiba kwa H- Baba (sweet sweet) na beat yake kaiba ya Dayna Nyange, Nitampata wapi kuna mashairi ya Q chief, Shetta n.k., huu wa sasa hujui karudia wa nani? Haya mimi nimekuwekea orodha ya nyimbo alizocopy Diamond, sasa nasema hivi niwekee hizo nyimbo za Hip Hop hapa ambazo unadai Mwana Fa na AY wamecopy yaani nataka kuzijua Original zake sio unaniambia mimi "najifanya mjuaji wakati sijui kitu". Wakati wewe kuweka Original tu unashindwa, Pia mimi sikuanza kufuatilia Bongo freva baada ya ujio wa Diamond, mimi nimeanza na Mr. II kipindi muziki wa kizazi kipya unaitwa wa kihuni, nilikuwa na Tape ya album ya Mr.II inayoitwa Ni Mimi hii nakumbuka ilitoka 1995 na huyu Ndio muasisi wa Hip Hop Bongo,sasa wewe uliyeanza kufuatilia Bongo Fleva 2008( baada ya Diamond inawezekana hata wimbo uliomtambulisha hujui unaitwaje), Niwekee Original ya Yalaiti alioimba Mwana Fa na Linah na Original za kina AY na FA-Dakika moja
Kumbe wewe ni Kir a za unajua kushabikia tu ndo wote nyie akiwadhalilisha bado mtamsifia tu, Simfuatilii Diamond peke yake msanii yeyote anayetoa nyimbo nzuri huwa namfuatilia, Diamond nazipenda nyimbo zake za zamani kama 1. Kamwambie, 2. Mbagala 3. Nitarejea hizi ndizo ninazozikubali mimi binafsi, halafu usiwe mbishi binti msanii inatakiwa awe mbunifu sio aige kwa wenzie. Ukubali...ukatae...Diamond kashindwa kutunga nyimbo. Pia kwa nini umeni QUOTE kama unajua huwezi kujibu maswali yangu, kwa nini umeniambia najifanya mjuaji kumbe sijui kitu au umejisikia nyege tu ndo umeamua kuniQuote? Siku nyingine usipende kushoboka, maana nilimuuliza mwingine nashangaa wewe unatoka huko na minyege yako unaniambia mimi najifanya mjuaji.Hayo uliyoongea huko juu kuhusu diamond umesimuliwa au? Hebu ilete kitorondo unayoisemea na mdogomdogo afu utuambie Diamond amecopy nini! Ni kale kamstari "kitorondo kaingiaje" ndo kucopy au? My number one kaiba nini cha H baba nazo bado ni blah blah unless uprove otherwise. Halafu with confidence kabisa unaniambia "haya nimekuwekea alizocopy Diamond" hahaha
Hayo mengine kamuulize aliyekuqoute at first sio mimi.
Povu lote ilo la nn km umekula omo.....kama vipi anza kuwa unamtungia ww sasaKumbe wewe ni Kir a za unajua kushabikia tu ndo wote nyie akiwadhalilisha bado mtamsifia tu, Simfuatilii Diamond peke yake msanii yeyote anayetoa nyimbo nzuri huwa namfuatilia, Diamond nazipenda nyimbo zake za zamani kama 1. Kamwambie, 2. Mbagala 3. Nitarejea hizi ndizo ninazozikubali mimi binafsi, halafu usiwe mbishi binti msanii inatakiwa awe mbunifu sio aige kwa wenzie. Ukubali...ukatae...Diamond kashindwa kutunga nyimbo. Pia kwa nini umeni QUOTE kama unajua huwezi kujibu maswali yangu, kwa nini umeniambia najifanya mjuaji kumbe sijui kitu au umejisikia nyege tu ndo umeamua kuniQuote? Siku nyingine usipende kushoboka, maana nilimuuliza mwingine nashangaa wewe unatoka huko na minyege yako unaniambia mimi najifanya mjuaji.
Mkuu povu liko wapi hapo, nimeandika kulingana na uelewa wangu,Wewe kama Uume hausimami unapolala basi ujue unamatatizo, nakumbuka O Level Ticha wa Biology aliniambia nikilala kiubavu ubavu ukiamka hautakuta Uume ukiwa umesimama lakini mimi nikijaribu kufanya hivyo wapi bado naona Jogoo anawika tena vizuuri, sasa wewe kama ni wa kiepe usifikiri kila mtu yupo kama wewe, Ukweli ni kwamba inatakiwa ujue nimeandika ninachokielewa,sicho unachofikiria. Pia hata asubuhi ukiamka lazima ukute Uume umesimama ( wakati ulipokuwa usingizini ulikuwa hujitambui)Povu lote ilo la nn km umekula omo.....kama vipi anza kuwa unamtungia ww sasa
Yalaiti ya Mwana Fa na Linah maudhui na kiitikio vimetoka kwa Yalaiti ya Bi Kidude.Funguka mkuu Original zake ni zipi nizifuatilie
Kumbe wewe ni Kir a za unajua kushabikia tu ndo wote nyie akiwadhalilisha bado mtamsifia tu, Simfuatilii Diamond peke yake msanii yeyote anayetoa nyimbo nzuri huwa namfuatilia, Diamond nazipenda nyimbo zake za zamani kama 1. Kamwambie, 2. Mbagala 3. Nitarejea hizi ndizo ninazozikubali mimi binafsi, halafu usiwe mbishi binti msanii inatakiwa awe mbunifu sio aige kwa wenzie. Ukubali...ukatae...Diamond kashindwa kutunga nyimbo. Pia kwa nini umeni QUOTE kama unajua huwezi kujibu maswali yangu, kwa nini umeniambia najifanya mjuaji kumbe sijui kitu au umejisikia nyege tu ndo umeamua kuniQuote? Siku nyingine usipende kushoboka, maana nilimuuliza mwingine nashangaa wewe unatoka huko na minyege yako unaniambia mimi najifanya mjuaji.
aje ya alikiba dakika hii una watizamaji mil4.6 na una miezi minne ,salome una mwezi mmoja unawatizamaji 5.5 milSalome wa Diamond umebuma kabisaaaaa