Hata Mimi namkubali Sana Shalu khan na San deo pia hawa ndo wamenifanya nipende movie za kihindiShahrukh Khan hana mpinzani.
Jamani huyu baba nampenda mnooo!
Wapi Sunil Shety?Sun Deo?
Mimi sio mfuatiliaji wa movie za kihindi sana.
Ukipata wasaa tuandalie list ya Wakorea mkuu...
Asante.
Nop wadogo zng ndio wanacheki naonaga 2 ila zimeanza kunivuta..kuna ile nyingine mtt wa tajiri nimeanza kuipendaHe he he he amazing in Tuntun voice. Unaifatilia? ?
ndo hiyohiyo aisee, kuhust not's nafikiri ni tatizo la kiufundi labdaSio ile aamir khan alikuwa anapoteza memory?
(Afu sijui why sipatagi notifications zako, nafanya kubahatisha tu)
Krishi tamu weee, zipo tamthilia 5 now. Mtoto wa tajiri ipi hiyo au king of hearts?Nop wadogo zng ndio wanacheki naonaga 2 ila zimeanza kunivuta..kuna ile nyingine mtt wa tajiri nimeanza kuipenda
Mmh hizo notifications sio kwa watu wote, ni kwako tu na hii ni mara ya 2 au zaidi naobserve hilindo hiyohiyo aisee, kuhust not's nafikiri ni tatizo la kiufundi labda
Hyoo King of the hearts nimeipenda kweli,...krish nzuri sema naona kama nimechelewa kuianza hv.Krishi tamu weee, zipo tamthilia 5 now. Mtoto wa tajiri ipi hiyo au king of hearts?
Yani tena ukitaka kunispoil nipeleke Vacation Seoul South Korea...[emoji1] [emoji1] haha 4 real ww nimpenz sana wa hao watu and i respect that [emoji6] [emoji6] i wsh ningekuunganisha na rafk yng 1 yan huyo akilala akiamka anawaza wakorea 2 noma. Wanajua
Amir khan kazaliwa 1975? Hivi unajua amir khan alianza. Kuwa maarufu hata kabla ya sharukh Khan mwanzoni mwa miaka 1990. Dada angalia tarehe zako vizuri.King Khan apart from Bolywood richest movie star pia ni msanii no 2 kwa utajiri Kidunia!
Pia Aamir Khan ameazaliwa 1975
Nawapenda sana wahindi hapa naangalia tamthilia ya kihindi inayoiywa KRISHNADAS!!
Haha yy ni 'Me' hata m naona atakusumbua 2 bora tuwache..[emoji1]Yani tena ukitaka kunispoil nipeleke Vacation Seoul South Korea...
Uwiiiiii utanishikaaaa.
Nawapenda sana hawa watu,sana.
Kama ni mdada niunganishe naye jirani.
Kama ni mwanaume itakuwa tatizo.
[emoji126][emoji126][emoji126]
Nilipokuwa mdogo nilikuwa nampenda Shahrukh Khan ile kimchumba mchumba [emoji85][emoji85][emoji85].Hata Mimi namkubali Sana Shalu khan na San deo pia hawa ndo wamenifanya nipende movie za kihindi
duh, hapo sielewi kwakweli labda JamiiForums atakuwa anafahamu sosi ya tatizoMmh hizo notifications sio kwa watu wote, ni kwako tu na hii ni mara ya 2 au zaidi naobserve hili
Tusije tukawa kama Lee Min Ho na Kim Nana aiseee.Haha yy ni 'Me' hata m naona atakusumbua 2 bora tuwache..[emoji1]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ugonjwa wako"Tusije tukawa kama Lee Min Ho na Kim Nana aiseee.
Maana mtu anayejua na kuzipenda hizi mambo za Wakorea huwa ananikoshaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
So funny
Ameigiza na Aryana Khann kama fan wake.hii fan ameigiza na nani? za kwake nazipenda zote hasahasa my name is khana, billu barber.. dah nyingi mno
Hamjaachana na mwanangu.Mimi so mpenzi wa MOVIE but huyo jamaa wa 3IDIOTS namkubaliiii saaaana. Hiyo movie nimeangalia Mara 2964 mpaka nimeikariri
kitambo sanaMwenye kukumbuka movie ya LOHAA, na ile ya Govinda ya mtoto bubu YAYAA, YAYAA