me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,357
Hata Mimi namkubali Sana Shalu khan na San deo pia hawa ndo wamenifanya nipende movie za kihindiShahrukh Khan hana mpinzani.
Jamani huyu baba nampenda mnooo!
Wapi Sunil Shety?Sun Deo?
Mimi sio mfuatiliaji wa movie za kihindi sana.
Ukipata wasaa tuandalie list ya Wakorea mkuu...
Asante.