Wasanii 10 wanaoongoza kwa pesa nchini India

Wasanii 10 wanaoongoza kwa pesa nchini India

Shahrukh Khan hana mpinzani.
Jamani huyu baba nampenda mnooo!
Wapi Sunil Shety?Sun Deo?
Mimi sio mfuatiliaji wa movie za kihindi sana.
Ukipata wasaa tuandalie list ya Wakorea mkuu...
Asante.
Hata Mimi namkubali Sana Shalu khan na San deo pia hawa ndo wamenifanya nipende movie za kihindi
 
[emoji1] [emoji1] haha 4 real ww nimpenz sana wa hao watu and i respect that [emoji6] [emoji6] i wsh ningekuunganisha na rafk yng 1 yan huyo akilala akiamka anawaza wakorea 2 noma. Wanajua
Yani tena ukitaka kunispoil nipeleke Vacation Seoul South Korea...
Uwiiiiii utanishikaaaa.
Nawapenda sana hawa watu,sana.

Kama ni mdada niunganishe naye jirani.
Kama ni mwanaume itakuwa tatizo.
[emoji126][emoji126][emoji126]
 
King Khan apart from Bolywood richest movie star pia ni msanii no 2 kwa utajiri Kidunia!
Pia Aamir Khan ameazaliwa 1975
Nawapenda sana wahindi hapa naangalia tamthilia ya kihindi inayoiywa KRISHNADAS!!
Amir khan kazaliwa 1975? Hivi unajua amir khan alianza. Kuwa maarufu hata kabla ya sharukh Khan mwanzoni mwa miaka 1990. Dada angalia tarehe zako vizuri.
 
Yani tena ukitaka kunispoil nipeleke Vacation Seoul South Korea...
Uwiiiiii utanishikaaaa.
Nawapenda sana hawa watu,sana.

Kama ni mdada niunganishe naye jirani.
Kama ni mwanaume itakuwa tatizo.
[emoji126][emoji126][emoji126]
Haha yy ni 'Me' hata m naona atakusumbua 2 bora tuwache..[emoji1]
 
Hata Mimi namkubali Sana Shalu khan na San deo pia hawa ndo wamenifanya nipende movie za kihindi
Nilipokuwa mdogo nilikuwa nampenda Shahrukh Khan ile kimchumba mchumba [emoji85][emoji85][emoji85].
Jamaa anajua bwana.
Na nyimbo zake sasa...kama ile sound track ya kwenye movie ya Ramujane...
Daaaah
 
Haha yy ni 'Me' hata m naona atakusumbua 2 bora tuwache..[emoji1]
Tusije tukawa kama Lee Min Ho na Kim Nana aiseee.
Maana mtu anayejua na kuzipenda hizi mambo za Wakorea huwa ananikoshaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
So funny
 
Tusije tukawa kama Lee Min Ho na Kim Nana aiseee.
Maana mtu anayejua na kuzipenda hizi mambo za Wakorea huwa ananikoshaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
So funny
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ugonjwa wako"
 
hii fan ameigiza na nani? za kwake nazipenda zote hasahasa my name is khana, billu barber.. dah nyingi mno
Ameigiza na Aryana Khann kama fan wake.
Fan alikuwa anampenda sana ila ndo akakosa nafasi na kwa hasira yakatokea ya kutokea.
Itafute peterchoka.....ni movie nzuri sana, sana.
Haichoshi kuangalia...nzuri
 
Channel ya B4U ilinisaidia Sana kuwajua hawa actors
 
Back
Top Bottom