tinkibiruka mhaya
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 929
- 794
Hahaha mkuu unazungumzia taarifa ya habar mi.nilikuwa naficha remote mda wa taarifa ya habar mama akitaka kuangalia taarifa ya habar namwambia leo wametangaza taarifa ya habari hazitakuwepo kwenye channel zote kuna marudio ya this week in persipective sasa mama angu haelew hayo ana nyanyuka anaingia chumbaniHahaha yani kumbe haka kaugonjwa tunako wengi. zile tamthilia za Kihindi zilivyo ndefu, afu kila siku hutaki kuzikosa dailu, me kuna muda hata taarifa ya habari siweki