Wasanii ambao hawajui kuimba kabisa lakini bado wanalazimisha kuimba

Dudu baya, inspector Haroun, Baba level, Tunda man, Mbdog, Dulysex....
 
Tutolee Young Killer kwenye hiyo list huu muziki sijui unasikiliza wapi
 
Daaaaah kuna watu hapo umewakosea saana heshima
Hv una level gani ya elimu kwanza
Alafu unaufahamu mziki kweli? Au unaongea tu kutafuta kiki?
 
Amber lulu,lulu diva,feza kessy,chege,temba,kinngwendu,mkaliwenu,gigy money,jokate,tunda man,..
 
Kuna mziki wa international level? Wa wapi huo?

Eti international level!
 
Kama huyu anaejiita hemedi phd yani ni pumba kabisa' kwan hawajitambui kama hawawezi.
 
Mtoa mada japo mada ina ukweli asilimia kadhaa, ila kwa young killer umechemkaa sana, yaani umepwaya sana inaonesha bado hujui muziki wa bongo fleva vizuri
 
Narudia tena. Jua limeshazama hunaukijuacho kuhusu muziki. Na bahati mbaya upo na ambao hawajui muziki. Unataka watu waimbe kama miaka ya 70.? Jaribu kubadilisha fikra zako then ukamsikilize tena. Kuna kitu utakipata


usiwe na ushabiki wa kipumbavu, ungeujuwa muziki wala usingekurupuka kujibu hoja usiyoijuwa.
 
Daaaaah kuna watu hapo umewakosea saana heshima
Hv una level gani ya elimu kwanza
Alafu unaufahamu mziki kweli? Au unaongea tu kutafuta kiki?


Nafahamu muziki na nimeusomea pia na ndiyo maana nimewataja hao juu kwa sababu ni kweli kabisa si wanamuziki ila wamejiingiza tu kwenye muziki wa kuiga Nigerians ili kuganga njaa tu.
 
Inawezekana hatujui muziki lakini tuna burudika vizuri tu mkuu..
 
mpaka jina limentoka, huyu naniiiiiii eeh NEY WA MITEGO
halafu mwingine ni TUNDAMAN
 
Acha kumfananisha msodoki na mambo ya kijinga kama kawaida yake pamabana na hali yako
 
Ebwana hasa HUYO LAVALAVA anaimba KAMA anakamuliwa JIPU,,,,YAANI ANAJIKAMUA SN kuliko HISIA ZENYEWE.... UTAKUTA nyimbo haina hisia YEYOTE yeye amekomaa kujikamua,,,,
Af yule dogo amekaa kama mkorosho vile...
 
Labda tungetafuta KWANZA tofauti kati ya MWANAMUZIKI, MSANII, NA MWIMBAJI. Tukiweza kutofautisha hiyo misamiati na maana zake nadhani tutakuwa tumeshaondoa huu utata unaochanganya watanznia hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…