Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaaah kuna watu hapo umewakosea saana heshimaWanamuziki wa kibongo fleva karibia ya wote hawajuwi kuimba ila hawa wafuatao wapigwe ban na BASATA as soon as possible kwani wanahaibisha fani ya muziki wa Tanzania:
1. Jux (huyu yanki ni bora angeachana kabisa na muziki, he's too fake na kuimba ziro kabisa....anafaa kuwa mwanamitindo tu)
2. Young Dee.....very fake na kuimba wala kurap hajuwi kabisa....ni mlazimishaji tu. Aache muziki akabugie unga.
3. Amber Lulu.....huyu ni bora akawa mcheza sinema za uchi tu, yaani hata sielewi kwanini alijiingiza kwenye muziki
4. Gigy Money....na haka nako wala sijuwi kwanini hata kalijiingiza kwenye muziki
5. Vanessa Mdee....anajitahidi ila analazimisha mno kumuiga Beyonce....angebakia tu kuwa a VJ
6. Jokate Mwegelo....nina haja ya kusema zaidi jamani, hata na nyie mnashindwa kuona kweli?
7. Chidi Benz....huyu alikosea tu kuja kwenye industry ya muziki, yuko very overrated for nothing
8. AY, anajiita Mze wa commercial ila hajuwi hata kurap
9. Roma Mkatoliki....niseme nini juu ya huyu jamaa, hajitambui na hajuwi hata kurap
0. Mr. Blue - bora asivyosikika...aachane kabisa na muziki, awe tu mwalimu wa madrassa
Nyongeza....wachezaji (mavideo Queen) wa kibongo fleva wote wapigwe ban maana hakuna hata mmoja anayejuwa kucheza kuendana na beats, they are so fake.
Kuna mziki wa international level? Wa wapi huo?Mtoa mada hujui muziki hujui ethics (miiko) ya muziki hujui lolote kuhusu muziki. Kwanini namesema hayo bebe
Tuanze na Lavalava ni bonge la mtunzi na mwimbaji mwenye vocals za international level
Young killer unahitaji akili iliyopanuka kumuelewa anachokiwasilisha ni real hip hop artist wengine ni wabaka fani na wengine wapo kimaslahi zaidi mfano WEUSI
Hujui muziki mleta mada
Narudia tena. Jua limeshazama hunaukijuacho kuhusu muziki. Na bahati mbaya upo na ambao hawajui muziki. Unataka watu waimbe kama miaka ya 70.? Jaribu kubadilisha fikra zako then ukamsikilize tena. Kuna kitu utakipata
Daaaaah kuna watu hapo umewakosea saana heshima
Hv una level gani ya elimu kwanza
Alafu unaufahamu mziki kweli? Au unaongea tu kutafuta kiki?
Inawezekana hatujui muziki lakini tuna burudika vizuri tu mkuu..Wote niliowataja ni fake musicians, labda hujuwi tu muziki unashabikia kitu usichokijuwa. Jux anaimba nini, he's too fake hata kufollow beats aimbapo hajuwi....msikilize vizuri. Narudia, hakuna msanii wa bongo fleva ambaye anajuwa kweli kuimba, wanabangaiza tu na bahati mbaya wamepata watu wasiojuwa muziki kuwasupport.
Jua limezama. Hakuna hoja hapousiwe na ushabiki wa kipumbavu, ungeujuwa muziki wala usingekurupuka kujibu hoja usiyoijuwa.
Af yule dogo amekaa kama mkorosho vile...Ebwana hasa HUYO LAVALAVA anaimba KAMA anakamuliwa JIPU,,,,YAANI ANAJIKAMUA SN kuliko HISIA ZENYEWE.... UTAKUTA nyimbo haina hisia YEYOTE yeye amekomaa kujikamua,,,,