Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliskia siku moja interview ya jamaa Nani sijui ila alikua anasema moja ya sababu ya kuvurugika kwa crew yao ilikua jamaa alikua na kujikweza na kuona wenzake Kama hakuna kitu nadhani itakua moja ya weakness kubwa iliyochangia kumwangusha mchiziferooz jembe sana ila mziki umemkataaa..
I second you.Afande Sele tu hapo ndo msanii ambaye nakubaliana na wewe kwamba hapewi credits zakutosha; hao wengine ni aidha walipuyanga wenyewe kama TID na wengine simply weren't all that walikua very average huku Solo Thang pamoja na kwamba alikua mkali but he didn't push the envelope that far, alikua anaimba out of passion tu.
Mr. Blue, Byser ni msanii mwenye mchango mkubwa sana kwenye bongo fleva, kuna mikato alianzisha ambayo wasanii wanapitia hadi leo, ka-inspire wengi sana kuingia kwenye game, bishoo aliyekubalika na wagumu, rapa aliyekubalika na wabana pua, rapper and singer, very versatile, yupo kwenye game toka katoka, akipanda jukwaani anaamsha popo, believe me you huwezi kutana na mtu asiyemkubali Blue but hana tuzo hata moja, wakiongelewa legends wa bongo fleva na watu wenye mchango huwezi sikia jina lake hata siku moja. He is the most unsung hero of Bongo flavor ila mtaa unamuelewa.
Salute mkubwa...Afande Sele tu hapo ndo msanii ambaye nakubaliana na wewe kwamba hapewi credits zakutosha; hao wengine ni aidha walipuyanga wenyewe kama TID na wengine simply weren't all that walikua very average huku Solo Thang pamoja na kwamba alikua mkali but he didn't push the envelope that far, alikua anaimba out of passion tu.
Mr. Blue, Byser ni msanii mwenye mchango mkubwa sana kwenye bongo fleva, kuna mikato alianzisha ambayo wasanii wanapitia hadi leo, ka-inspire wengi sana kuingia kwenye game, bishoo aliyekubalika na wagumu, rapa aliyekubalika na wabana pua, rapper and singer, very versatile, yupo kwenye game toka katoka, akipanda jukwaani anaamsha popo, believe me you huwezi kutana na mtu asiyemkubali Blue but hana tuzo hata moja, wakiongelewa legends wa bongo fleva na watu wenye mchango huwezi sikia jina lake hata siku moja. He is the most unsung hero of Bongo flavor ila mtaa unamuelewa.
B-Boy huyo mkuu...Kuna jamaa alitoa Singo moja tu ili hit hatari wimbo unaitwa 'Sina Demu' kama unavyoniona mpenzii ndp maana nimekuchagua weewe ukidhi yangu mahitaji...ila Mr Blue, Kabaiser, Byser, the Untouchable Byser, Kiss to the ladies, ni bishoo mmoja hatari sana kipenzi cha warembo..
Ni ukweli hata ujio wa Daz baba na album ya Elimu hakutarajia kama itahit vile...Niliskia siku moja interview ya jamaa Nani sijui ila alikua anasema moja ya sababu ya kuvurugika kwa crew yao ilikua jamaa alikua na kujikweza na kuona wenzake Kama hakuna kitu nadhani itakua moja ya weakness kubwa iliyochangia kumwangusha mchizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jay Moe hapewi heshima inayostahili... Na yote kayasema kwenye famous, kifupi nakubaliana na ww Mo ni. Mc wa karneKATIKA COMMENTS ZOTE SIJAMUONA JAY MO MZEE WA MAISHA YA BOARDING. MVUA NA JUA BORA NINI?. KIUFUPI JAY MORE AU MO TECHNIC NI MC WA KARNE KWANI HAJATOKEA MC MWENGINE MWENYE TUNGO TATA KAMA YEYE. ALIKUWA ANAJUA KUCHEZA NA VINA, ANACHANA BILA KUELEWA AMEKUSUDIA NINI? HAKUWA MUZA SURA ILA BAHATI YAKE NADHANI SIO KWENYE MUZIKI
Utakubaliana nami kuwa kuna wasanii ambao wameutoa mziki sehemu na kuupeleka sehemu hapa bongo lakin hawana heshima wanayostahili.. Mziki umekataa kabisa kuwatendea haki.. Mimi naanza na hawa..
1.Afande sele
2.Daz baba
3.O ten
4.Solo thang
5.Wagosi
6.Mh. Temba
7.Sister P
8.Juma nature
9.Zay b
10.TID
Endeleza...
Sent using Jamii Forums mobile app
O tenUtakubaliana nami kuwa kuna wasanii ambao wameutoa mziki sehemu na kuupeleka sehemu hapa bongo lakin hawana heshima wanayostahili.. Mziki umekataa kabisa kuwatendea haki.. Mimi naanza na hawa..
1.Afande sele
2.Daz baba
3.O ten
4.Solo thang
5.Wagosi
6.Mh. Temba
7.Sister P
8.Juma nature
9.Zay b
10.TID
Endeleza...
Sent using Jamii Forums mobile app