Wasanii ambao wameutendea haki mziki lakin mziki ukakataa kuwatendea haki bongo

Wasanii ambao wameutendea haki mziki lakin mziki ukakataa kuwatendea haki bongo

Mmetaja wengi Sana ila mnamsahau King Kong mwenyew chuma chid Benz hakika nimekuwa nafuatilia game muda mrefu ila mpaka sasa sijapata mc anayejua na real talented Kama jamaa, anachana kwa hisia,sauti yake ya mamlaka hakika sidhan Kama kuna msanii anamfikia na naamini mziki bado anaudai Sana ishu za kuwa drug addict pia zimempotezea Sana uwezo wake na umaaruf but to be honest chid Benz is the best mc alive no one can battle with him seriously

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afande Sele tu hapo ndo msanii ambaye nakubaliana na wewe kwamba hapewi credits zakutosha; hao wengine ni aidha walipuyanga wenyewe kama TID na wengine simply weren't all that walikua very average huku Solo Thang pamoja na kwamba alikua mkali but he didn't push the envelope that far, alikua anaimba out of passion tu.

Mr. Blue, Byser ni msanii mwenye mchango mkubwa sana kwenye bongo fleva, kuna mikato alianzisha ambayo wasanii wanapitia hadi leo, ka-inspire wengi sana kuingia kwenye game, bishoo aliyekubalika na wagumu, rapa aliyekubalika na wabana pua, rapper and singer, very versatile, yupo kwenye game toka katoka, akipanda jukwaani anaamsha popo, believe me you huwezi kutana na mtu asiyemkubali Blue but hana tuzo hata moja, wakiongelewa legends wa bongo fleva na watu wenye mchango huwezi sikia jina lake hata siku moja. He is the most unsung hero of Bongo flavor ila mtaa unamuelewa.
Salute! Huwa nina chuki binafsi na Mr Blue ila huwa nakoshwa na muziki wake umemwelezea vizuri na kiungwana Sana.Heshima kwako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmetaja wengi Sana ila mnamsahau King Kong mwenyew chuma chid Benz hakika nimekuwa nafuatilia game muda mrefu ila mpaka sasa sijapata mc anayejua na real talented Kama jamaa, anachana kwa hisia,sauti yake ya mamlaka hakika sidhan Kama kuna msanii anamfikia na naamini mziki bado anaudai Sana ishu za kuwa drug addict pia zimempotezea Sana uwezo wake na umaaruf but to be honest chid Benz is the best mc alive no one can battle with him seriously

Sent using Jamii Forums mobile app
Uyo kajipoteza mwenyewe..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakubaliana nami kuwa kuna wasanii ambao wameutoa mziki sehemu na kuupeleka sehemu hapa bongo lakin hawana heshima wanayostahili.. Mziki umekataa kabisa kuwatendea haki.. Mimi naanza na hawa..

1.Afande sele
2.Daz baba
3.O ten
4.Solo thang
5.Wagosi
6.Mh. Temba
7.Sister P
8.Juma nature
9.Zay b
10.TID

Endeleza...

Sent using Jamii Forums mobile app
#mimi nakataa TID still strong labda hao wengine hasa O ten lol
 
Back
Top Bottom