Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Unampenda juxJux
Jux
Jux
Jux
Amshukuru Vanessa
Jux
Jux
Ila sio kosa lake wa tz hawajui vizuri
Jux
Jux...
"heart broken"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unampenda juxJux
Jux
Jux
Jux
Amshukuru Vanessa
Jux
Jux
Ila sio kosa lake wa tz hawajui vizuri
Jux
Jux...
"heart broken"
Vincent Sahana,Natafuta albamu ya DNob mwenye nayo analipwa! Au mwenye contact yake nimlipe kabisa!
Mkuu vipi unayo?
Y Dash ni wa mwanza?Kuna mdogo wangu wa kuzaliwa anaitwa yasini Mtoto wa IGOGO mrungushi wengi wanamjua Kama y. Dash
yes anatokea mtaan kwangu pale IGOGO mrungushi
Hapana Sina,ila namkubali Sana huyo jamaa NinaMkuu vipi unayo?
Nature aliangushwa na Fela zingine hizo ni stori zenu za vijiweni
Ila Joh makini anakwara tuzo kibao kama drake lakini sio msanii.Afande Sele tu hapo ndo msanii ambaye nakubaliana na wewe kwamba hapewi credits zakutosha; hao wengine ni aidha walipuyanga wenyewe kama TID na wengine simply weren't all that walikua very average huku Solo Thang pamoja na kwamba alikua mkali but he didn't push the envelope that far, alikua anaimba out of passion tu.
Mr. Blue, Byser ni msanii mwenye mchango mkubwa sana kwenye bongo fleva, kuna mikato alianzisha ambayo wasanii wanapitia hadi leo, ka-inspire wengi sana kuingia kwenye game, bishoo aliyekubalika na wagumu, rapa aliyekubalika na wabana pua, rapper and singer, very versatile, yupo kwenye game toka katoka, akipanda jukwaani anaamsha popo, believe me you huwezi kutana na mtu asiyemkubali Blue but hana tuzo hata moja, wakiongelewa legends wa bongo fleva na watu wenye mchango huwezi sikia jina lake hata siku moja. He is the most unsung hero of Bongo flavor ila mtaa unamuelewa.
Hivi nlikupiyemu vile???Hahahahaha
"heart broken"
Mr Blue ni msanii ambaye ana kipaji halisi ila Muziki na wadau wa muziki wanamchukulia poa tu. ..Swali langu dogo sana! Hivi Blue ameshawahi kutoa ngoma isiwe hit?! Halafu ana staili fulani hivi, that never gets old! Hawa wengine na ma-credit yote tunayowapa; wakileta ngoma tu hapo hapo mtu unajua huyu ni old school hata kama ulikuwa humjui hapo kabla! But Blue, damn it! Can only put him in the same league with Dully!
Mr Blue huyu Jamaa anajua sana..Well said..
Juzi nilikua naskiza ngoma yake na nandy kuna jamaa nikawa namwambia blue tangu atoke hajawahi kuachia ngoma mbaya..
Haachii kila siku ila kila akiachia ni balaa..
Anaimba anachana ana kila kitu..
Na ana staili ya pekee ambayo hakuna anayeifanya..
Ana discipline huwezi mkuta kwenye skendo za kipuuzi..
Tatizo kama ulivyosema, hapewi ulegendary anaostahili..
Wako wapi alioanza nao mziki leo hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hujamweka mb dog boss??Wasanii pekee ambao bado wanaudai huu muziki ni;
1.Mr.Blue
2.JayMo
3.Afande Selle
4.Marehem Ngwair
5.Belle 9
6.Dully Sykes
7.Inspector Harun
8.Wagosi wakaya
9.Q.Chillah
Hao wengine ambao sijawataja wamepata walichostahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa! Undercover! Ngoja nitafute contact yake nimcheki!Hapana Sina,ila namkubali Sana huyo jamaa Nina
Ngoma yake ya NISHIKE MKONO feat Mwasiti, nadhani ndo ngoma yake ya mwisho kabla haenda undercover.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukizipata ngoma zake,utani pm basi tuone tunawezaje kushareHahahaaa! Undercover! Ngoja nitafute contact yake nimcheki!