Wasanii ambao wameutendea haki mziki lakin mziki ukakataa kuwatendea haki bongo

ferooz jembe sana ila mziki umemkataaa..
Niliskia siku moja interview ya jamaa Nani sijui ila alikua anasema moja ya sababu ya kuvurugika kwa crew yao ilikua jamaa alikua na kujikweza na kuona wenzake Kama hakuna kitu nadhani itakua moja ya weakness kubwa iliyochangia kumwangusha mchizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa alitoa Singo moja tu ili hit hatari wimbo unaitwa 'Sina Demu' kama unavyoniona mpenzii ndp maana nimekuchagua weewe ukidhi yangu mahitaji...ila Mr Blue, Kabaiser, Byser, the Untouchable Byser, Kiss to the ladies, ni bishoo mmoja hatari sana kipenzi cha warembo..
 
I second you.
 
Kwasasa naona ni:-
Ruby
Mr Blue
Ben Pal
Mwasiti
Barnaba boy
 
Salute mkubwa...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
B-Boy huyo mkuu...
Dahhh ni bonge ya ngoma hiyo sina demu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ukweli hata ujio wa Daz baba na album ya Elimu hakutarajia kama itahit vile...
Hiyo ikawa mwanzo wa beef ya chini chini na Daz baba... Kuna kipindi wakamuimbia mpaka wimbo eti "Kijana Mteja"
 
Jay Moe hapewi heshima inayostahili... Na yote kayasema kwenye famous, kifupi nakubaliana na ww Mo ni. Mc wa karne
 


Wasanii wengi wa bongo fleva hawana issue, kama si kuhonga ili wapewe air time basi kusingekuwa na Bongo fleva hapa nchini.
 
O ten
Mh Temba
Zay B
Na Sister P hawastahili kuwepo kwenye list yako, hao hawakua wasanii ni wabahatishaji tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…