Wasanii ambao wameutendea haki mziki lakin mziki ukakataa kuwatendea haki bongo

Well said..

Juzi nilikua naskiza ngoma yake na nandy kuna jamaa nikawa namwambia blue tangu atoke hajawahi kuachia ngoma mbaya..

Haachii kila siku ila kila akiachia ni balaa..

Anaimba anachana ana kila kitu..

Na ana staili ya pekee ambayo hakuna anayeifanya..
Ana discipline huwezi mkuta kwenye skendo za kipuuzi..

Tatizo kama ulivyosema, hapewi ulegendary anaostahili..
Wako wapi alioanza nao mziki leo hii



Sent using Jamii Forums mobile app
 
ile ngoma ya B.L.U.E ni noma
 
Sasa Wapewe heshima gani? kila zama na fahari wake! unataka wapewe tuzo zama za diamond and the like? huwatendei haki! wapo wakali akina chege wanaendeleza game japo kwa kuchechemea! kila zama na mfalme wake
 
Umalaya na bangi sio skendo ??

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwa kweli Mr Blue anajua na anakipaji. Ningeshangaa kama asingeelezewa vizuri hivi. Na huu ndio ukweli.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huyu kijana huwa ni kiboko


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alijiita B. Boy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasanii pekee ambao bado wanaudai huu muziki ni;
1.Mr.Blue
2.JayMo
3.Afande Selle
4.Marehem Ngwair
5.Belle 9
6.Dully Sykes
7.Inspector Harun
8.Wagosi wakaya
9.Q.Chillah
Hao wengine ambao sijawataja wamepata walichostahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali langu dogo sana! Hivi Blue ameshawahi kutoa ngoma isiwe hit?! Halafu ana staili fulani hivi, that never gets old! Hawa wengine na ma-credit yote tunayowapa; wakileta ngoma tu hapo hapo mtu unajua huyu ni old school hata kama ulikuwa humjui hapo kabla! But Blue, damn it! Can only put him in the same league with Dully!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…