Wasanii ambao wameutendea haki mziki lakin mziki ukakataa kuwatendea haki bongo

Kuna mdogo wangu wa kuzaliwa anaitwa yasini Mtoto wa IGOGO mrungushi wengi wanamjua Kama y. Dash
 
Ila Joh makini anakwara tuzo kibao kama drake lakini sio msanii.
 
Mr Blue ni msanii ambaye ana kipaji halisi ila Muziki na wadau wa muziki wanamchukulia poa tu. ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mr Blue huyu Jamaa anajua sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…