Wasanii Jifunze kwa yaliyompata Irene Uwoya. Ni baada ya Malezi mabovu, watu wamempandia hewani hadi kutoa machozi

Yule mtoto amesha haribika hata kuongea ni shida....mtoto amekuzwa kama mwanamke kabisa! Uwoya ana vuna anachopanda!

Baba ana umuhimu sana kwenye malezi ya mtoto hasa wa kiume ladba mama awe na akili nzuri lakini asiwe na utahira kama Uwoya
 
This is bullying kwa mtoto... wamkosoe watakavyo mamake, mtoto is just a victim

Bad enough anazidi kumsubject to this bullying kwa kumruhusu kuangalia hayo matusi na kumjibia mamake...this is child abuse.

Kwani watu si wana mjadili yeye kwa kumtumia mtoto wake...wakati yeye ndiyo kampost? Acha akome
 
Kwakweli kaleta chukizo LA kutia hasila, kuna sehemu mama anasema tatizo mtoto amenifanana kila kitu. Nikaona huo uzwazwa , kwa hiyo anatamani wampasue wamuwekee pupuchi ili wakadange wote. Hapo Katauti Marehemu asingekubali. Mtoto wa Kirundi kumfanyia hivyo aisee
 
Hata ndiku angekuwepo asingefanya chochote. Dakika za mwisho za ndiku hazikua nzuri,alikua kafulia,uwoya alimzarau sana,alimdhalilisha vya kutosha.

Back
Top Bottom