Wasanii Jifunze kwa yaliyompata Irene Uwoya. Ni baada ya Malezi mabovu, watu wamempandia hewani hadi kutoa machozi

Wasanii Jifunze kwa yaliyompata Irene Uwoya. Ni baada ya Malezi mabovu, watu wamempandia hewani hadi kutoa machozi

Mkuu we can't breath here in Tanzania!View attachment 1486306
.
FB_IMG_15918718110569346.jpg
 
Photoshop ni propaganda dhaifu na ya kitoto.Mnafanya kazi dhaifu ambazo hamjatumwa na CCM.Mmeamua kujituma wenyewe kufanya propaganda dhaifu ili kuiaibisha na kuiangusha CCM.
Hii sio Photoshop
 
Kwa nini mnatumia propaganda dhaifu za photoshop?!Ina maana wapinzani hawana maovu ya kweli wanayofanya ambayo mnaweza kutumia kama propaganda sahihi?!Ni mmekosa akili kisa ni CCM?
Sio Photoshop
 
Wana Jf

Ukisikia mwanakuyatafuta na mwanakuyapata Ni pale msanii maarufu baada ya kuposti picha chafu za kumdhalilisha mwanae wa kiume mavazi ya kike na kumpamba mithili ya like. Wanamitandao walichukizwa na kitendo kile na kuanza kumtukana wakitaka ajirekebishe, matusi Yale yalimtikia mwanae kiasi kwamba alijirekodi akionya wanaomfatilia akitishia kuwashitaki ikiwa wataendelea.

Hata hivyo akiwa anatoa onyo alionyesha kusikitika kwake mamayake alivyobanishwa na jamii naye kuanza kutoa machozi kwa majina wanayoanza kumuita mapema. Mpaka tunaenda mitandaoni wajuba waliahakikisha ujumbe unafika na mtoto na mama yamewauhuzunisha
Katoto kashoga kale alafu kana tishia watu maisha kapuuzi kabisa
 
Nenda kwenye instgram yake kama mapicha hajayaficha utayaona
Kwa nini mnatumia propaganda dhaifu za photoshop?!Ina maana wapinzani hawana maovu ya kweli wanayofanya ambayo mnaweza kutumia kama propaganda sahihi?!Ni mmekosa akili kisa ni CCM?
 
This is bullying kwa mtoto... wamkosoe watakavyo mamake, mtoto is just a victim

Bad enough anazidi kumsubject to this bullying kwa kumruhusu kuangalia hayo matusi na kumjibia mamake...this is child abuse.
Anaye mtesa mtoto ni huyo anayempost na kumrekodi kila mara.
A child has a right to privacy.Yeye anamuweka kwenye spotlight.Awe tayari kwa sifa,matusi na kukosolewa.
 
Yaan bongo katoto kakiwa kazuri wanakaita shoga loo
Mtoto mzuri ndo apakwe lipstick?
Na kuvishwa viatu vya kike?
Alipost ili asifiwe tu.Amfiche mwanaye.Wametukanwa watoto wa Jay z sembuse yeye.
Ndio maana wenzie wanaficha watoto wao.
 
Yule mtoto amesha haribika hata kuongea ni shida....mtoto amekuzwa kama mwanamke kabisa! Uwoya ana vuna anachopanda!

Baba ana umuhimu sana kwenye malezi ya mtoto hasa wa kiume ladba mama awe na akili nzuri lakini asiwe na utahira kama Uwoya
So akamfate babake makaburini akalelewe naye?
Singlemaza anatupiwa lawama zote!
 
Mtoto mzuri ndo apakwe lipstick?
Na kuvishwa viatu vya kike?
Alipost ili asifiwe tu.Amfiche mwanaye.Wametukanwa watoto wa Jay z sembuse yeye.
Ndio maana wenzie wanaficha watoto wao.

mbona kama alieditiwa

hivi mtoto wa jayz alitukanwa kisa nini?
 
Malezi ya mama na mtoto kushinda ndani,haya ndio matokeo yake.

Mwanamke pekee jamani hawezi,yaani pale hata angekuwa na baba wa kambo,asingekubali yule dogo kukaa vile,lazima angemkazia.
 
Back
Top Bottom