Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Wasanii kama Meja Kunta inakujae mama yako anauza samaki usiku anateseka na anaishi sehemu ya ajabu.
Wasaniii mjitafakari Sana
Wasaniii mjitafakari Sana
Mama yake kaanguka na ndoo ya samaki usiku kule lindiInawezekana anafedha lakini kundi au jamii aliyokuwanayo haimsadii namna ya kuishi akiwa msanii ,wasanii wengi wanaishi kigeto geto ,uswahilini yaani anaona kawaida mzazi wake anaumwa na hatoi msaada
😁😁🤣Wabongo wengi wachawi.
Kiongozi Ndio jamii hiyo hiyo ya msanii 20%,harmonize, diamond, malezi ya utotoni yamewaathiri Huku ukubwani tembelea hiyo mikoa uangalie malezi,tamaduni zao utagundua wanakosa city fulaniMama yake kaanguka na ndoo ya samaki usiku kule lindi
DuhKiongozi Ndio jamii hiyo hiyo ya msanii 20%,harmonize, diamond, malezi ya utotoni yamewaathiri Huku ukubwani tembelea hiyo mikoa uangalie malezi,tamaduni zao utagundua wanakosa city fulani
InasikitishaWasanii wengi wanaishi maisha ya kuigiza tu.
Ni masikini wenye majina makubwa!
Nenda YouTube acha kuwa mzembenipeni nyimbo maarufu za huyo msanii nisikilize
Nenda nae kwa mpalangenipeni nyimbo maarufu za huyo msanii nisikilize
Sasa Kunta ana pesa gani?Wasanii kama Meja Kunta inakujae mama yako anauza samaki usiku anateseka na anaishi sehemu ya ajabu.
Wasaniii mjitafakari Sana
Upo sahihi mkuu.Wasanii wengi wanaishi maisha ya kuigiza tu.
Ni masikini wenye majina makubwa!