Sisi wote tuko hivyo hivyo, kujikwamua inakua ngumu sana. We fikiria kabla hujajipata inabidi usaidie watu, huwezi kutoka. Watu wote waliofanikiwa wanaweka pesa,lakini wakina sisi utaweka pesa vipi wakati familia nzima hawajiwezi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.