Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,772
- 32,649
Mbona wao wazazi usema watoto tafuteni vyenu . Tena usema hizi mali ni zangu na mme wangu au mke wangu nyinyi tafuteni zenu ..tena usema watoto kutegemea mali ya wazazi ni upumbavu sasa iweje kinyume chake iwe sawa,. Hivi nyinyi mnao semaga hivyo huwa mnazielewa hata dini zenu kweli ? Imeandikwa mtoto mali na utajiri upata kwa babaye na mamaye aikuandikwa kuwa mzazi upata mali na utajiri kwa mwanawe....kidini ni wajibu kwa mzazi kumfanikishia mtoto wake mali, utajiri, nyumba, nk ila ni fadhira tu kwa mtoto kumtendea hayo mzazi ....kitu cha ajabu kwa waafrika tunaona kutokutenda wajibu siyo kosa bali kutokutenda fadhira ndiyo kosa.Wasaniii mjitafakari Sana
Wazazi wapumbavu wanaona si haki wao kuwajengea nyumba watoto wao ila wewe mtoto ukipata mafanikio jamii na hao wazazi inalalamika kuwa kwanini uwajengei nyumba nzuri wazazi wako.