Wasanii kama Meja Kunta inakujae mama yako anauza samaki usiku anateseka na anaishi sehemu ya ajabu

Wasanii kama Meja Kunta inakujae mama yako anauza samaki usiku anateseka na anaishi sehemu ya ajabu

Jamani kubadirsha maisha ya mtu sio rahisi inataka juhudi binafsi. Kuna watu wamesaidiwa mpaka kujengewa majumba ila wao kama wao wamegandana na zamani yao.
 
Wasanii kama Meja Kunta inakujae mama yako anauza samaki usiku anateseka na anaishi sehemu ya ajabu.

Wasaniii mjitafakari Sana
Kwa taarifa yako pesa ya kwenda kurekod wimbo studio inatokana na samaki anazouza mama yake. Usipende sana kuangalia maisha ya watu kwa nje. Zama ndani ndio utajua hujui. Mfano kuna jamaa mmoja anabadili suti kila siku lakini...see more
 
Nachoweza kusema ni mfumo wa maisha yetu ya kiafrika

Unaweza someshwa, ukapata kazi, au ukafanya biashara ukawa vzr kivyovyote,

Ni ngumu kumwambia mzazi acha hiyo kazi njoo fanya hii, ni lazima umwandae kisaikolojia mapema ukizingatia kazi yake ya mwanzo anaheshimika na anaamiini ndo utayompatia riziki,

Hata nguo, nyumba wangap wanajengewa au kununuliwa nguo mpya lakini atakuambia atabaki kwenye ile aliyoizoea yeye ?

Hivyo wazee wetu wengi wana ishi kwenye mifumo ile ya zamani pasi na kukubali mambo yamebadilika sasa,

Siwezi mshangaa sana labda mzazi awe na shauku na tamanio mwenyw la kutaka hayo mabadiliko otherwise kazi bure,

Kikubwa mama yake alikuwa anafanya kazi anapata kula kwa halali basi, hayo mengine tuwaachie wao,
 
Sio kwamba Hawa wasanii hawapati pesa, kinachowaponza matumizi ni makubwa kuliko wanachoingiza. Demu mkali Tena sley queen, yuko mwenyewe lkn anapanga nyumba nzima Kodi 500k......! Ama apartment za luxury, mavazi ya bei mbaya, Kila kiwanja Cha starehe yupo, kuishi maisha ya kisela kuzungukwa na crew kubwa isiyo na maana yoyote. Nk

Mbona Kuna baadhi ya wasanii wanamafanikio halisi yasiyo ya kufeki na wanaimba kawaida tu?? Msanii kama BEST NASO yuko vzr kiuchumi .
 
Back
Top Bottom