Wasanii kama Meja Kunta inakujae mama yako anauza samaki usiku anateseka na anaishi sehemu ya ajabu

Wasanii kama Meja Kunta inakujae mama yako anauza samaki usiku anateseka na anaishi sehemu ya ajabu

Nawajua wasanii kibao wanaishi maisha ya kingese

Yaani wengi wanaishi kwa kuunga unga wanafaidi kutomba mabinti tu kwa sababu ya fame

Lkn down wengi ni mafukara waliochangamka

Wakike wanajiuza kumaintain status
 
Mnakuza sana mambo kuonekanakana makuubwa kuliko uhalisia
 
Mkuu usipagawe na jina msanii kuna wale vijana wanajiita mabantu ukiwaona kwny mitandao utasema wanamaisha ila kuna ishu moja nilishuhudia nkasema huu usenge tu ni bora hata mm mweny uhakika wa kula na pakulala na ninaishi maihsa halisi
Ilikuaje
 
Watanzania wengi ni mabingwa wa kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kwa watu wasiowajua, kuhusu mambo wasiyoyafahamu.
Unakuta anayetoa ushauri ndo hana mbele Wala nyuma.
Aliyesema akili ndogo Zina discuss watu kweli hajakosea.
 
Mkuu usipagawe na jina msanii kuna wale vijana wanajiita mabantu ukiwaona kwny mitandao utasema wanamaisha ila kuna ishu moja nilishuhudia nkasema huu usenge tu ni bora hata mm mweny uhakika wa kula na pakulala na ninaishi maihsa halisi
Funguka, ishu gani hiyo?
 
Mkuu usipagawe na jina msanii kuna wale vijana wanajiita mabantu ukiwaona kwny mitandao utasema wanamaisha ila kuna ishu moja nilishuhudia nkasema huu usenge tu ni bora hata mm mweny uhakika wa kula na pakulala na ninaishi maihsa halisi
Umaarufu na utajiri ni vitu viwili tofauti kabisa,sema wabongo wengi wanazani ukiwa maarufu lazima uwe na pesa, kumbe sivyo, kuna watu wengi tu maarufu lakini hawana kitu,alafu kuna watu wanapesa lakini siyo maarufu!!
 
secretarybird kaa mbali na hii sura yaan kaa mbali kabisa usinizoee sitaki mazoea ya kingesengese tafuta mapunga wenzio huko uwazoee sio mimi ushaelewa kaa mbali punga mmoja wewe, unanitafutia ban kwa lazima?
 
Unatafuta Bwana? Au unanitafutia ban? Maana kinachofuata unakijua na nitakupa I never back down qu,ma.la.mama.yako
Naona uko kwenye heat period na unataka mwanamume wa kukuweka kifuani na hujampata bado, umekuja kwangu ukiamini ninakupenda kweli.

Kwa sura gani uliyonayo wewe binti?
Hebu nenda kwa wanywa chang'aa wenzako huko mkajamiiane porini.
 
Back
Top Bottom