Wasanii kama Meja Kunta inakujae mama yako anauza samaki usiku anateseka na anaishi sehemu ya ajabu

Wasanii kama Meja Kunta inakujae mama yako anauza samaki usiku anateseka na anaishi sehemu ya ajabu

Unaweza kuuliza maswala ya plasta na ukifatilia zaidi si ajabu ikawa ni nyumba ya kupanga kwahiyo mambo siyo rahisi kihivyo, wanachokosea ni kufake sana life kupitiliza mtu akiulizwa kiatu bei gani anasema 1.5M cheni bei gani utaskia 5M kwahiyo siku watu wakifanikiwa kupaona kwenu lazima washangae mazingira maana mbele ya macho ya watu umejijenga kama mtu mwenye pesa nyingi
Inafikirisha kidogo.
 
Sio sahihi ila uwezi jua maisha anayopitia mtu. Sidhani kama kuna mtu anaona ni sahihi mama yake kutembeza samaki usiku. Kumbuka pia usanii ni gharama atahitaji kwenda photoshoot, kwenda studio kurecord nyimbo na kwenda location kurecord video na hizi zote zinahitaji hela. Yeye anaingiza hela kupitia digital platforms na kwenye shows kwahiyo unakuta anapata faida ndogo sana.

Zile photoshoot na video ndo zinawachanganya watu wafikiri wasanii wana maisha mazuri.
Tujitafakari kabla ya ku judge
 
Back
Top Bottom