Wasanii kama Meja Kunta inakujae mama yako anauza samaki usiku anateseka na anaishi sehemu ya ajabu

Wasanii kama Meja Kunta inakujae mama yako anauza samaki usiku anateseka na anaishi sehemu ya ajabu

Inawezekana anafedha lakini kundi au jamii aliyokuwanayo haimsadii namna ya kuishi akiwa msanii ,wasanii wengi wanaishi kigeto geto ,uswahilini yaani anaona kawaida mzazi wake anaumwa na hatoi msaada
Unauhakika mama yake aliumwa kiasi cha kuhitajika kutoa msaada ambao hakufanya hivyo?!
 
Kama unamwambia demu wako akakitembeze ili arudi na hela unategemea nini?

Tena unamwambia aende kwa mpalange ikiwa amekutana na mzungu.
 
Hakuna mtu anaependa wazazi wake wakae sehemu mbaya , hawa wasanii maisha yao ya mitandaoni ya kuigiza hapigi picha hadi apate location nzuri ila hawezi kupiga picha kwenye nyumba ya familia yao au maisha yao halisi

Kwahiyo mtu unaweza kudhani wanapesa nyingi ila kiuhalisia hawana hayo maisha mazuri wala pesa nyingi.

Hali ya wazazi kuishi maisha magumu inatukuta hata sisi wenye vipato vya kawaida wazazi wetu wanaishi maisha magumu tunatamani waishi fresh ila life bado ni ngumu.
Haya ndiyo maneno sasa.
 
Back
Top Bottom