Wasanii mbambali wanaohusishwa na P-Diddy waanza kutajana na wengine kujitaja

Wasanii mbambali wanaohusishwa na P-Diddy waanza kutajana na wengine kujitaja

Nitakua tajiri nambari moja duniani alisikika CEO wa wasafi midia
GYF0HWqXEAA0qO5.jpeg
 
Aisee umaarufu unasakwa kweli kweli.....hivi alikuwa anatoa bei gani ukimpatia linda?
Hapo mkuu wanakuwa blackmailed,

Wewe msanii chipukizi, unapakwa mafuta, unapewa Umaarufu, wanabaki na ushahidi, then wanatumia huo ushahidi kutimiza Agenda zao, kesho ukiambiwa act movie ya kusupport ushoga, hukatai sababu kuna mtu ana Remote anaku control.

Na sio kupakwa mafuta tu, kuna wengine wanalala na vitoto vidogo na ushenzi mwengine, miaka ya karibuni mengi yamefichuliwa. Kifupi Hollywood ni sehemu moja chafu sana.
 
Ogopa sana mtu anayetaka kuonekana mwema. Huyo Diddy alikuwa na kampeni yake mitandaoni ya kusambaza upendo (LOVE) hadi mwanae akamwita LOVE. Kumbe ni mshenzi mno. Hana tofauti na RC fulani ambaye hujifanya ni mkristo kuliko Yesu.
 
Kuna kitu hakipo Sawa kwenye story hii!
Inawezekanaje Kila mtu aliyeenda kwa Didy aliwe liwati kimzaha mzaha hivyo?

Walikuwa wanalazimishwa au kwa hiari yao!
Kwanini walikubali?
Diddy sio Alpha na yeye alikua akitumika tu na hao waliokuwa wanawa control Wasanii, list ni ndefu mpaka Viongozi wa siasa na maraisi. Diddy hana ubavu kum blackmail Kamala, Trump ama mtu kama Prince wa Uingereza.
 
kab

kabisa uko sahihi
Diddy aliteuliwa na wenye mamlaka yao kama mwakilishi mkuu.
Haya mambo mtu kisha anakuambia mauchawi na maushetani ni hadithi za kusadikika
 
Back
Top Bottom